The Vitruvian man: Ufahamu mchoro wenye utata kuhusu mwili wa mwanadamu uliochorwa na Da Vinci

Kwenye uzi wote nimebahatika kuyaona mapozi 12 tu. Vingine sijaelewa. Ngoja nikaoge maji ya baharini nirudi tena kusoma
 
Mimi nimeona mwanaume mmoja ana mlawiti mwenzie.Ushoga.
Hili lingekutwa mtandaoni huko kaandika mzungu flani lingeaminiwa kirahisi. Maana linameki sense kama hizo (supposedly Hidden) meaning zingine tu.

Kifupi hatutakaa tujue maana halisi ya mchoraji hadi ye mwenyewe atuambie. Na yoyote anayesema eti kuna maana nyingine ambayo artist hajasema mi anaona ana some overthinking issues that really need attention right about now.
 
Reactions: BRN
Andiko bora kabisa
 
Andiko bora kabisa
Wala sio andiko bora maana kuna mengi sijayeleza kuhusu huu mchoro kama jinsi alivyochora pyramids na secret tomb ya Osris. Lakini iki uelewe vizuri inatakiwa uwe na elimu ya advanced Geometry
 
Ndio alie kwenye ngazi ya chiniiii kabisa. Anazidiwa hata na bacteria 😂😂
Bacteria ana akili sana, watu wameshinda Nobel prize kwa kumuiga Bacteria anavyopigana na kirusi wakati binadamu tumeshindwa kabisa, soma CRISPR-Cas9 jinsi ilivyogunduliwa na namna itakavyobadilisha maisha ya binadamu, hii idea ya binadamu kujifanya tuna akili kuliko wanyama naona ni comedy tuu
 
Andiko zuri lakini civilization nyingi tuu zina watu kama Da Vinci na wana impact kubwa sana kwa maisha ya binadamu, hawa tunawajua kwa sababu ya ukoloni na ndicho walichotufundisha, , na idea ya kufikiri binadamu we are the chosen one au tuna akili kuliko wanyama ni ujinga wa hali ya juu, good scientist /philosophers etc wengi wanatumia nature na wanyama kugundua mambo mengi sana yanayomsaidia binadamu na kuishi inavyotakiwa hapa duniani
 
Licha ya yote huyo Da vinci alikuwa shoga watu wanakula kisamvu mchele.
Remember Alan Turing? was a British computer scientist ambaye ndio alikuja na hizi algorithms unazotumia sasa kwenye smart phone yako or computer kuja kutukana watu , kuwa straight doesnt mean you are smarter or anything better, hata apple CEO ni gay lakini mchango wake kwa binadamu ni mkubwa kuliko wewe
 
Choko ni choko tu acha kujifanya smarter kwa hiyo unataka tuanze kuwasifia na uchoko wao.Yaan mambo wagundue wengine halafu masonic waamuwe kumbrand choko wao mmoja, ili watu waone machoko ndo wavumbuzi na magenius duniani, acha mambo zako za kichoko hapa na wewe kama unachezea rungu sema tu wakulungwa tupo.Ile ni branding wemetengenezewa kama kwenye movie za sasa hivi.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Umenifumbua kitu hapa mkuu.. lakini bado hakuna mnyama mwingine ambae intelligent yake inamfikia au kumzidi mwanadamu. Je unaweza kunipa mifano?
 
Mkuu hii ni topic tu Mbona sasa unamshambulia huyo mchangiaji??? Huwezi andika hoja yako bila kumshambulia mtu...?? Not Cool
Unakosa sifa ya kuwepo jukwaa hili
 
Wengi wanakosa elimu ya ujinsia/Sexuality ndio maana.
 
Mkuu hii ni topic tu Mbona sasa unamshambulia huyo mchangiaji??? Huwezi andika hoja yako bila kumshambulia mtu...?? Not Cool
Unakosa sifa ya kuwepo jukwaa hili
Tuna safari ndefu sisi waTz na wa Afrika kwa ujumla wake.

Kujadili hoja bila personal attack hatuwezi bado. Nafikiri mfumo wetu wa elimu ndio sababu kuu.

Mf. ukimwambia mtu kitu hakijui lazima akupinge na ikibidi matusi yatakushukia ya kutosha huku kitu hicho hakijui kabisa ila wewe unakifahamu.

TUTAFIKA TU.
 
wakati wanachora haya walikuwa washagundua rula??
 
Umeona sasa! Mimi namuona mama akimshikilia vizuri mtoto asianguke anapousogelea aushike msalaba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kama mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…