The Walking Dead series

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
πŸ‘‹πŸ‘‹
Kama huna cha kuangalia wikendi hebu itazame hii series natumaini utaipenda.
Nimeishia Season10 nasubiria mwakani season 11 ikiwa Complete ndio niendelee.
Ni mzuri sana haiboi haichoshi.. Maybe S1 pekee ndio sio kali kivile ila zinazofuata zote ni nzuri
Kwa mlioitazama mtakubaliana nai.

My favorite character is Negan and Glenn

Nihadithie ulipoishia japo kwa ufupi matukio then nitakuambia ni season gani
Daah sijui kama ntaikumbuka vizuri ila tukio kubwa ambalo lilitokea kwenye episode za mwishoni kuziangalia ilikua ni Huyo gwen alipokufa, kichwa chake kilitundikwa kwenye kijiti

Halafu kuna sehemu walilipua daraja
 
Ok... Japo hakuna mtu anayeitwa gwen kwenye seriea, walikufa wakatundikwa kichwa kwenye mti ni Tara,Enid, Highway men, henry,nk hiyo ni S9 Ep 15/16
Aliyelipua daraja ni Rick Grime's ilikua S9 episodes za mwanzoni.
Basi ulifika mbali anza S10
 
Oya hivi yule mchina (asian) haitwi gwen?

Hivi yule sijui aliuliwa na huyo jamaa wa rungu, anaependelea kupiga mluzi...
 
Oya hivi yule mchina (asian) haitwi gwen?

Hivi yule sijui aliuliwa na huyo jamaa wa rungu, anaependelea kupiga mluzi...
Steven Yuen (Glenn Rhee) ni mkorea sio mchina. Aliuawa na Negan
 
Steven Yuen (Glenn Rhee) ni mkorea sio mchina. Aliuawa na Negan
yaaah umenikumbusha exactly babisa mchizi alikua anaitwa glenn na huyo kibopa anaitwa negan,

Yule rasi na mzee wa akido nao nimewakumbuka, ngoja nikipata time nitairudia
 
yaaah umenikumbusha exactly babisa mchizi alikua anaitwa glenn na huyo kibopa anaitwa negan,

Yule rasi na mzee wa akido nao nimewakumbuka, ngoja nikipata time nitairudia
Negan anamazombie yake hata ukiyauliza jina yanakuambia yanaitwa negan hahaha
 
Ok... Japo hakuna mtu anayeitwa gwen kwenye seriea, walikufa wakatundikwa kichwa kwenye mti ni Tara,Enid, Highway men, henry,nk hiyo ni S9 Ep 15/16
Aliyelipua daraja ni Rick Grime's ilikua S9 episodes za mwanzoni.
Basi ulifika mbali anza S10
Mkuu unawezaje kukumbuka vyote hivi?
Me nimeichek lakini hata majina ya character kibao nimeshasahau nwakaumbuka tu kwa sura/ile jmage ...
Season ya mwisho kutoka ilikuwa mwaka juzi??
 
Mkuu unawezaje kukumbuka vyote hivi?
Me nimeichek lakini hata majina ya character kibao nimeshasahau nwakaumbuka tu kwa sura/ile jmage ...
Season ya mwisho kutoka ilikuwa mwaka juzi??
Mkuu my first entertainment ni muvi then music. Yaani nikiona muvi au series nakalili kila kitu kuanzia producer, directors,Writters na actors wote. Yaani kwenye motion picture hunidanganyi kitu... Game of thrones, Marvel movies,The walking dead character wote wapo kichwani.

Unavyonishangaa nami hua nashangaa mnawezaje kukariri wachezaji wa mpira, ukinipa hata Bilioni nikutajie wachezaji watano wa simba au yangu sijui kabisa
 
Nimekuapata, hata me nikiaangalia movie au series niliyoielewa huwa na irsuia kuichek mara kwa mara..
Mfano ni Breaking bad
Prison Break
 
Io series imepotezq mvuto km the arrow ya kina oliva queen season 1 ipo bomba ila zilizofuata ni ujinga mwanzo mwisho
Ilitoka 2015? Kweli season 1 ilikuwa hatari sana ...vitu vilivyofuta hapo hata me sikuvielewa kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nipo season 7 ep 7
Simpendi Negan jaman ananikera hana utu kama mazombi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…