The Walking Dead series

Ndefu sana niliishia Season 7, huko mbele naskia hadi kuna watu wanaitwa Alpha na Beta? Anyway nasubiria kuona last episode tu nijue hiyo story inaishaje.
 
Hahahahaha wewe ni mimi kabisa sema mie niko upande wa magari!

Kuna mtu anashangaa najuaje magari mengi kwa majina na technologies zake ila ni passion tu 😅ukinipa billion 10 nitaje kikosi cha manchester united siwezi kukutajia yani hata kocha wao tu simtambui ni nani! Hata timu za bongo tu zenyewe sielewi chochote 😅 yani maswali 5 tu ya kuhusu mpira nadhani hata moja siwezi nikatoboa!
 
Hio series niliangalia season 3 za kwanza zile japo nilishasahau ila niliipendaga sana! Mie napenda movie za thriller kama hizo mazombi na zile za adventures flani kama piranha, deep blue sea, shark night, wrong turn na zote ambazo wazungu wanaenda picnic af majanga yanatokea huko 😅
 
Siipendi muvi za mazombie ila hii TWD ilinibamba sana stori na character wake. Ungejitahidi ukafika hadi episode 6 huko mambo yanazidi kua moto.
Siipendi sana za mauaji maana hua siwezi angalia
 
Hahahahaha wewe ni mimi kabisa sema mie niko upande wa magari!
Ila mimi kwenye gari sijui Chochote kabisa kwanza hua najiuliza mechanisms ikoje Hadi mafuta yanafanya gari itembee.
Napenda sana Kufanya kazi za uandishi hasa uandishi wa script za muvi (Screenplay/screenwriting) ndoto yangu ni kukutana na secreenwriter fulani nipate ujuzi.
Hua natumia muda mwingi sana kufuatilia production za muvi ila mpira hamna kitu nimejitahidi kufuatilia niwe kama wanaume wengine humu nimeshindwa 😂.
Ila muvi tamu sana kama ni mfuatiliaji mzuri
 
Ndefu sana niliishia Season 7, huko mbele naskia hadi kuna watu wanaitwa Alpha na Beta? Anyway nasubiria kuona last episode tu nijue hiyo story inaishaje.
Endelea mkuu Negan alikalishwa japo kwa mbinde sana.
Alpha na Beta wapo Season 9 ndio walimuua Jesus,Tara,Enid, nk.
Endelea kutazama
 
Website gan ambayo naweza download series
 
Kuna mwamba anaitwa dell
 
[emoji16][emoji16]
 
[emoji16]
 
Io series imepotezq mvuto km the arrow ya kina oliva queen season 1 ipo bomba ila zilizofuata ni ujinga mwanzo mwisho
upo sahihi,mara ya kwanza niliiona mwaka 2011,niliishia mke wa rick alipofariki nikaona inaboa tu
 
Mine was Glenn and Maggie. Niliacha kuangalia muda mrefu nadhani nimeishia season 8 au 7 niliona kama kuna taste flani imepotea.
 
Mkuu tuma maombi NETFLIX 🤭😂🙌
 
Huyu jamaa anaitwa NEGAN, alimchachafya main character mpaka basi. Namkubali sana alivyouvaa uhusika.
 
Huyu jamaa anaitwa NEGAN, alimchachafya main character mpaka basi. Namkubali sana alivyouvaa uhusika.
View attachment 1997838
Yupo vyema sana mwanzo kabla sijamuona nilijua ni mtu yuko very serious kumbe very funny and Brutal.
Mda wote anatabasamu na maneno meeengi...
 
Mine was Glenn and Maggie. Niliacha kuangalia muda mrefu nadhani nimeishia season 8 au 7 niliona kama kuna taste flani imepotea.
S8 Rick alimwambia Magie tukimaliza vita wewe ndio utakua kiongozi wangu ila haikutokea. Rick akapotea😢
Hii series imenifunza kwamba kinachotofautisha kati ya binaadamu na wanyama ni Sheria/Laws
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…