Iv Rick alikuja kurudi Tena?S8 Rick alimwambia Magie tukimaliza vita wewe ndio utakua kiongozi wangu ila haikutokea. Rick akapotea[emoji22]
Hii series imenifunza kwamba kinachotofautisha kati ya binaadamu na wanyama ni Sheria/Laws
Hapana mkuu Rick hakurudi na hapo ndio show ilipoteza mvuto zaidi, Baada ya Glenn kufa watu waliipoteza interest na hii series ila walikua wanaiangalia tu kwa ajili ya Rick.Iv Rick alikuja kurudi Tena?
Nahisi Rick yupo Mzima, S11 sijaiona ila nimehisi kuna Community kubwa kushinda ambazo tumesha iona.Hapana mkuu Rick hakurudi na hapo ndio show ilipoteza mvuto zaidi, Baada ya Glenn kufa watu waliipoteza interest na hii series ila walikua wanaiangalia tu kwa ajili ya Rick.
Mimi mwenyewe nimeishia S10 naona haina ishu tena, Tatizo kuu ni kwamba hii series haina Happy Ending. Matukio ni yale yale hayana mwisho hadi watazamaji tunaboreka. Ila Rick hakufa, alichukuliwa ndio maana Michonne akaenda kumtafuta
Tofauti ya TWD na Fear The Walking Dead ni nini?Hapana mkuu Rick hakurudi na hapo ndio show ilipoteza mvuto zaidi, Baada ya Glenn kufa watu waliipoteza interest na hii series ila walikua wanaiangalia tu kwa ajili ya Rick.
Mimi mwenyewe nimeishia S10 naona haina ishu tena, Tatizo kuu ni kwamba hii series haina Happy Ending. Matukio ni yale yale hayana mwisho hadi watazamaji tunaboreka. Ila Rick hakufa, alichukuliwa ndio maana Michonne akaenda kumtafuta
Yaah man Ali mponda ponda ndio maana nashangaa hapa inakuaje kuna watu wana mchukua kama favourite mtu kama NeeganOya hivi yule mchina (asian) haitwi gwen?
Hivi yule sijui aliuliwa na huyo jamaa wa rungu, anaependelea kupiga mluzi...