The War Crimes Charges Against Al Bashir


....Thanks The Truth!! Now tell me about Kashmir.... who is going to solve the crisis over there?!!...remember it's been a while now..
 
 

Badala ya kukujibu wewe directly...Natumia fursa hii kukujibu na maneno ya Al Bashir unayemtetea...Hapo chini ni kauli yake alipoulizwa kuhusu Bin Laden na maelfu ya wakimbizi wa kiarabu waliohamia huko Sudan!
Hivyo naomba uwe makini na maneno yako.

Albashir alisema haya...



Na kwenye highlights hapo juu msisitizo upo kwenye hao waarabu walioingia humo nchini Sudan ambao walikataliwa kwenye nchi zao kwakuwa walikuwa ni wake wenye msimamo mkali!
Sasa nikisema kuwa hao ndiyo JANJAWEED UTAKATAA?
 

Jamani jamani jamani. Hizi comments zimetaipiwa kabla au baada ya kufikiri. Mmmh ndo maana mara nyingi huwa nateleza tu ninapoona hivi.
 
Jamani jamani jamani. Hizi comments zimetaipiwa kabla au baada ya kufikiri. Mmmh ndo maana mara nyingi huwa nateleza tu ninapoona hivi.

Ondoa kwanza hiyo picha ya avatar yako kwani Mugabe ni mpigania uhuru na si kikojozi!
Talking about udhalilishaji!
FYI hapa najaribu kuwasaidia kwa mambo ya INTELLIGENCE.
 
naona wakati nachangia mada ilikuwa moved na mchango ukapotea hewani...

Kimsingi Jmushi ur comments sijui niziweke wapi....lkn believe or not ur totally wrong or ur u have been trained for that....

Just to give the highlight of what is happening in darfur...please go thru below link....
http://www.islamonline.net/servlet/...agename=Zone-English-Muslim_Affairs/MAELayout

I hope its a useful link...kama haifunguki kwako let me know, i will make a wordcopy and send kwa yoyote...
 
This s****d Membe is also crazy . How do you defend a person who has been killing your fellow black men indicriminately? Membe and ofhter fools are interested in protecting one person and careless about the plight of helpless millions dying at the hand os El Bashir.

This is stupidity at is worst!!!!!
The only reason i see is that he is trying to protect this killer because he is in the same League as Kikwete is, that is they are all leaders with no legitimate interests of their people. They are corrupt and are more interested at embrasing corruption that public interests.

F*** Membe!!!
 
Last edited by a moderator:
....Thanks The Truth!! Now tell me about Kashmir.... who is going to solve the crisis over there?!!...remember it's been a while now..

Umm...not sure where you are going with this but to answer your question, it will be either the Pakistanis or the Indians or both. What exactly is your point and try to relate that point to my post.
 
Hivi Anachokipata China Pale Sudan Ingekuwa Anakipata Mwingereza Au Mnyamwezi Haya Yote Yangekuwepo?
 
Nampongeza sana Luis Moreno Ocampo, baada ya Al Bashir na Joseph Koni lazima Mwai Kibaki akamatwe na kufikishwa mahakamani, tuangalie mwafaka wa zanzibar unavyoendelea ukishindikana Luis Moreno Ocampo atachukua nafasi yake.

Tunapenda Africa iwe ardhi ya watu wastaarabu, huu ukoloni mweusi ukome maramoja.
 
Kwenye pitapita yangu kuna rafiki yangu amenitumia mashitaka ambayo mahakama ya kimataifa imeandaa juu ya rais wa Sudan kama yalivyoandaliwa na mwendesha mashitaka .

Nimeona niwape ili muweze kujua nini ambacho wanataka kumpeleka nacho mahakamani na kama kawaida ya JF huwa tuko msitari wa mbele kwenye kupashana habari.


Angalia hiyo attachment chini.
 

Attachments

He sits at the apex of, and personally directs, the state’s hierarchical structure of authority and the integration of the Militia/Janjaweed within such structure. He is the mastermind behind the alleged crimes. He has absolute control.

Hapo juu ndipo pamem maliza kwani inaonekana wazi yeye ndiye JANJAWEED MWENYEWE.
 
Evidence and more evidenve...

[FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype][FONT=Palatino Linotype,Palatino Linotype]

[/FONT]
[/FONT]
 
Tuendelee na msimamo wa AU kuwa tususpend hii kitu?

Mashitaka haya ni mazito sana na yanaonekana yamefanyiwa kazi vya kutosha .
 
Hivi kama serikali ya Sudani ingekuwa ni watu weupe (kama South Africa) na mambo yanayofanyika ni haya haya, je tungechukua msimamo huu huu?
 
everything remaining the same except the government in power is predominantly ni makaburu.
 
huyu anatofauti gani na wetu?Lamda style zao na zana wanazotumia zinatoafutiana.

Bashir ni mshamba wa karne,anaua black people,kutetea maslahi ya waaarabu.
Waarabu wamewalisha nini waduguuuuuuu?!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
No...Kwasababu waarabu hao hawatakubali kabisa raisi awe mweusi licha ya kwamba wako asilimia nyingi zaidi kwenye Taifa hilo na sasa pia wale waarabu wa Afghanistan walipelekwa huko na Bin Laden.
Haswa haswa huyo Harun ni kama MAHITA TU.
 
The solution will come from the West.
<----------->
But one thing I know for sure is Africans can not solve and are incapable of solving this Darfur crisis.

Truth,
I think you are wrong about Africans not being able to solve their crisisses. Africans sorted out Burundi conflict, Uganda tyrany, Commoro cessation etc.

It is only when a conflict sabsumes foreign interests that's when it become difficult for Africans to deal with. Daffur, Zimbabwe are the perfect examples.

However, as difficult as it might seem, if we don't end up pessimistic as you , we have enough leverages and capabilities among ourselves that we can use to clear our messes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…