The Wedding of Bastard and Wallding..

Emilia Clarke (Queen Daenerys Taegeryan stormborn, khaleese, Mother of Dragons, Breaker of Chains and Blah blah blah blah blah )
View attachment 1355731
Beaty with brain, Nilependa nafasi yake. Ana huruma bt strong. Alivyo potea ikampa ujasiri mbilikimo kwenda kufungu dragons.

Anakwambia ata wanyama wanajua, anaempa chakula ni rafiki yake, dragons wakafunguliwa

Kamsuko kama ka nywele kama RNA n DNA, was dope.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama penzi pekee lilimfanya ampende..ukizingatia sex scene hua zinakua demonstrated kwa CGI tech, itakua kuba vitu vya ziada aliviona kwa huyu mdada akampenda!
Kuna tofauti kati ya penzi na sex.
Ile interaction ndio naiongelea hapa. CGI haiingii ktk akili ya mtu kufanya interaction.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana mkuu.. nawe jitahidi uwe postive ili ufanikiwe tusaidie wengine

Mbona nipo positive. Comment yangu nimemaanisha kwamba kuna hicho unachokifanya ni positive, lakini the same passion ukihamishia kwenye vitu vingine positive utafika mbali sana.
Ni ushauri tu babu, wala usimaindi. A man needs a hobby, and watching movies is yours


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka mimi sijamanindi kabisa wewe umenielewa vibaya . Unesema postiveness itanifikisha mbali.. mimi nikakubali. Nami nikakushauri kua uishi postive pia ili ufanikiwe.. ukifanikiwa saidia wengine
 
Kaka mimi sijamanindi kabisa wewe umenielewa vibaya . Unesema postiveness itanifikisha mbali.. mimi nikakubali. Nami nikakushauri kua uishi postive pia ili ufanikiwe.. ukifanikiwa saidia wengine

Asante sana bob
 
Aye!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…