The WESTLANDS district of NAIROBI CITY

Yenyewe magomeni iko karibu kufikia Westland's kwa majengo,barabara zote hizo[emoji6][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jameni mnaolinganisha Westlands na Magomeni mnafaa kupimwa akili, Magomeni nimeishi tena maeneo ya pale Usalama napajua vizuri sana.
Haya hapa chini madubwasha ya Westlands ambayo inafaa yenyewe ianze kushindana na Dar yote

Is that area in the foreground the mogomeni they are busy comparing with westlands? Hiyo place inafanana pale industrial area
Kwenye ile foreground sio Magomeni, hapo kwenye foreground ni Temeke Bora/Viwandani
Magomeni iko district nyingine kabsaa huko Kinondoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jameni mnaolinganisha Westlands na Magomeni mnafaa kupimwa akili, Magomeni nimeishi tena maeneo ya pale Usalama napajua vizuri sana.
Haya hapa chini madubwasha ya Westlands ambayo inafaa yenyewe ianze kushindana na Dar yote

Mzee mzima na ww, kula kwako kwa chumvi kote bado unaleta render kuaminisha uzuri wa eneo hilo, acha zako bana

Halaf Magomeni now has got a building lenye urefu wa 22 floors, onyesha Westland lenye urefu wa floors hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tihahahhaaaaa leo nimeamini you have no idea how Nairobi looks like. The tallest building in East and Central Africa is in that picture at 43 floors......
 
Jameni mnaolinganisha Westlands na Magomeni mnafaa kupimwa akili, Magomeni nimeishi tena maeneo ya pale Usalama napajua vizuri sana.
Haya hapa chini madubwasha ya Westlands ambayo inafaa yenyewe ianze kushindana na Dar yote

Dar es salaam msiichukulie poa, ni kubwa sana yaani kubwa sana kuliko Nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…