The Woman King - Official Trailer

The Woman King - Official Trailer

Neter

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
700
Reaction score
1,115

The Woman King - Official Trailer​

Bow down to the most exceptional female warrior to ever live

The Woman King is the remarkable story of the Agojie, the all-female unit of warriors who protected the African Kingdom of Dahomey in the 1800s with skills and a fierceness unlike anything the world has ever seen. Inspired by true events, The Woman King follows the emotionally epic journey of General Nanisca (Oscar winner Viola Davis) as she trains the next generation of recruits and readies them for battle against an enemy determined to destroy their way of life. Some things are worth fighting for…

Directed by: Gina Prince-Bythewood

Story by: Maria Bello

Screenplay by: Dana Stevens and Gina Prince-Bythewood

Produced by:
Cathy Schulman
Viola Davis
Julius Tennon
Maria Bello

Executive Producer: Peter McAleese

Cast:
Viola Davis
Thuso Mbedu
Lashana Lynch
Sheila Atim
Hero Fiennes Tiffin
and John Boyega
 
Good napenda historical epic movie
 
Kwanini usiseme waafrica wenyewe watengeneze hizo movie? kila kitu tunataka tufanyiwe na mabeberu halafu wakitudharau tunalalamika.
Unalolisema ni sawa kabisa lakini shida inakuja kwa directors wetu na actors ,ni kwamba hawajawahi kufikiria aina hizi za story?vipi uwekezaji wa aina ya hizi movies kwanzia budget na rasilimali watu. Haya maswali nazani wanaoweza nijibu ni wandishi wenyewe.
 
Kingine ,pia uwekezaji mkubwa ungefanyika kwenye sekta y filamu ,mfano tu usishangae Ile tragic history ya kuzama kwa meli ya Mv Bukoba ikaigizwa nawa zungu,Sasa wa Africa ni kipi kinakwamisha wasifikirie vitu kama hivi zaidi ya story za kawaida?Basi majibu wanayo wadau wenyewe wacha sisi tufurah na movies za mabeberu wakikosea ,siku hizi kuna kukosolewa kama wakikosea facts.
 
Yaah kweli
 
Kwa kweli tunatia aibu, Halafu tunaishia kulalamika tunapodharauliwa kulialia tunabaguliwa. Pumbav kabisa sisi
 
Kwanini usiseme waafrica wenyewe watengeneze hizo movie? kila kitu tunataka tufanyiwe na mabeberu halafu wakitudharau tunalalamika.
Kuna kamjadala nilikua nakaona youtube, black americans wana discuss kuhusu hii movie, wanasema kua kuna agenda hollywood wanapush, ambapo itahusu kuzidi kuhimiza feminism kwenye jamii. I mean wanawake kuwa na power kuliko wanaume, kwa kifupi kupunguza masculinity, hii itasaidia serikali kua na control kirahisi na community kuliko kuwaacha alpha male undisturbed. Pia wanasema we as black people hatuna ownership ya movie zetu. Kwamba hii movie iko owned na white institution, so at the end of the day, white watapush propaganda zao kupitia movie yenye taswira ya mtu mweusi ili kumprogram mtu mweusi into something they want.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Unalolisema ni sawa kabisa lakini shida inakuja kwa directors wetu na actors ,ni kwamba hawajawahi kufikiria aina hizi za story?vipi uwekezaji wa aina ya hizi movies kwanzia budget na rasilimali watu. Haya maswali nazani wanaoweza nijibu ni wandishi wenyewe.
Kuna kamjadala nilikua nakaona youtube, black americans wana discuss kuhusu hii movie, wanasema kua kuna agenda hollywood wanapush, ambapo itahusu kuzidi kuhimiza feminism kwenye jamii. I mean wanawake kuwa na power kuliko wanaume, kwa kifupi kupunguza masculinity, hii itasaidia serikali kua na control kirahisi na community kuliko kuwaacha alpha male undisturbed. Pia wanasema we as black people hatuna ownership ya movie zetu. Kwamba hii movie iko owned na white institution, so at the end of the day, white watapush propaganda zao kupitia movie yenye taswira ya mtu mweusi ili kumprogram mtu mweusi into something they want.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kingine ,pia uwekezaji mkubwa ungefanyika kwenye sekta y filamu ,mfano tu usishangae Ile tragic history ya kuzama kwa meli ya Mv Bukoba ikaigizwa nawa zungu,Sasa wa Africa ni kipi kinakwamisha wasifikirie vitu kama hivi zaidi ya story za kawaida?Basi majibu wanayo wadau wenyewe wacha sisi tufurah na movies za mabeberu wakikosea ,siku hizi kuna kukosolewa kama wakikosea facts.
Kuna kamjadala nilikua nakaona youtube, black americans wana discuss kuhusu hii movie, wanasema kua kuna agenda hollywood wanapush, ambapo itahusu kuzidi kuhimiza feminism kwenye jamii. I mean wanawake kuwa na power kuliko wanaume, kwa kifupi kupunguza masculinity, hii itasaidia serikali kua na control kirahisi na community kuliko kuwaacha alpha male undisturbed. Pia wanasema we as black people hatuna ownership ya movie zetu. Kwamba hii movie iko owned na white institution, so at the end of the day, white watapush propaganda zao kupitia movie yenye taswira ya mtu mweusi ili kumprogram mtu mweusi into something they want.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kingine ,pia uwekezaji mkubwa ungefanyika kwenye sekta y filamu ,mfano tu usishangae Ile tragic history ya kuzama kwa meli ya Mv Bukoba ikaigizwa nawa zungu,Sasa wa Africa ni kipi kinakwamisha wasifikirie vitu kama hivi zaidi ya story za kawaida?Basi majibu wanayo wadau wenyewe wacha sisi tufurah na movies za mabeberu wakikosea ,siku hizi kuna kukosolewa kama wakikosea facts.
Hata ukiicheki trailer unaona kabisa characters za waigizaji ziko more "romanic" ( kama una kumbuka the roman empire the way wanavyo fight au the way wanavyoishi).
So tumepigwa mazee. Ni hatari

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Ndo ukweli huo
So we expect after this movie wanawake watazidi kua na viburi sana kitendo ambacho kitasababisha disputes nyingi. Na katika kila dispute mwanaume ndo yupo kwenye risk, example, marekani kuna sheria kali sana za "woman abuse" so kuna expectation ya niggas kuingia jela sana. The number of prisoners ikiongezeka na mapato yanaongezeka kwa white community, coz the prison institutions zinamilikiwa na wao.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kuna kamjadala nilikua nakaona youtube, black americans wana discuss kuhusu hii movie, wanasema kua kuna agenda hollywood wanapush, ambapo itahusu kuzidi kuhimiza feminism kwenye jamii. I mean wanawake kuwa na power kuliko wanaume, kwa kifupi kupunguza masculinity, hii itasaidia serikali kua na control kirahisi na community kuliko kuwaacha alpha male undisturbed. Pia wanasema we as black people hatuna ownership ya movie zetu. Kwamba hii movie iko owned na white institution, so at the end of the day, white watapush propaganda zao kupitia movie yenye taswira ya mtu mweusi ili kumprogram mtu mweusi into something they want.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Kampuni kubwa zote za Movie production zinamilikiwa white institution hapo Kwenye kupushi labda lakini ulaya Kwenye genda balance imewashinda
 
So we expect after this movie wanawake watazidi kua na viburi sana kitendo ambacho kitasababisha disputes nyingi. Na katika kila dispute mwanaume ndo yupo kwenye risk, example, marekani kuna sheria kali sana za "woman abuse" so kuna expectation ya niggas kuingia jela sana. The number of prisoners ikiongezeka na mapato yanaongezeka kwa white community, coz the prison institutions zinamilikiwa na wao.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Lakini labda kwa akili za waafrika zilivo itakuwa ulivosema
 
Back
Top Bottom