The Woman King - Official Trailer

Sio kwa emotional stunts hizi🤩😂
 
Critics
Imechanganywa kivipi wanasema? Kina nani hao wanaosema?
Critics "baadhi"kwamba hao worriers (women)hawakua real heros kukataa kuwauza, makabila ya wenzao utumwani Bali ndo walikua wanaongoza kuuza wenzao.
 
Critics
Critics "baadhi"kwamba hao worriers (women)hawakua real heros kukataa kuwauza, makabila ya wenzao utumwani Bali ndo walikua wanaongoza kuuza wenzao.
Okay. Ila hizi movies based on true stories siku zote haziwi sahihi kwa 100%. Lazima kuna vitu vinaongezwa au kubadilishwa for entertainment. Ni vizuri kuzi_enjoy just as movies. Ukitaka ukweli zaidi unafanya research kidogo mwenyewe. Ila hata hivyo zinasaidia kutufumbua macho kuhusu mambo hatukuwa tunayajua awali. Mfano mimi sikuwa nafahamu historia ya hawa Agoji warriors mpaka niliposikia kuhusu hii movie.
 
Ni kweli mkuu na ndo maana ikandikwa "imekua inspired by true events"ila mwisho wa siku wamejitahid sana kina "Viola Davis".Story n inasisimua iwe ni challenge kwa wandishi wetu na actors wetu wa bongo na wadau kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…