Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411
Wapendwa kuna rafiki anataka kumwambia mtu ile I LOVE U ya kuanzisha uhusiano,anaomba neno jingine la tofauti coz hili la sasa kwake anahisi ni jepesi sana (limekosa mvuto wa uhalisia) kwa huyo atakaeambiwa! Let we help her please
Neno I LOVE YOU bado lina mvuto na litaendelea kuwa na mvuto ila inategemea yule anaelisema hilo neno analitamka kwa uzito gani ili lionekane lina maana nzito kwa mwenzake

hahahahahahaha lol
jamni wewe dahhh
Si unajua tena? Nice boys says "I love you". Bad boys "I don't love you". But the cool guys say "I hate you". Achague moja. But the last one works. But only if he knows how to use it. I hate you Afrodenzi!
ni kweli ,unashangaa anakutrust after th fu** happened anazinduka kukuambia kwann ulimbaka.Kuna wanaume wanatengeneza mazingira ya mpaka kufikia ku do without mentioning a word like "I love you". Ndo unasikia tumejikuta tu tuna- fall. Kumbe umefall wewe mwenyewe yeye amefanya with conscious mind.
You don't love meI love you the finest.
Ninkugonza munoNikukunda
Prove it.i do.
.