The World Health Organisation warns African Countries against the use of traditional medicine

The World Health Organisation warns African Countries against the use of traditional medicine

Masi Lambo

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2020
Posts
532
Reaction score
360
The World Health Organisation warns African Countries against the use of traditional medicine that it claims
" has not been scientifically tested and proven to fight the coronavirus"

WHO launched a scathing attack on Madagascar’s herbal cure branded it dangerous and called for side effects to be examined as the African Union shows interest.

Do they bother to tell us about the side effects of Vaccines they introduce to Africa?
They don't do that because they think Africans were born to be guinea pigs for Western Vaccines and Big Pharma.

In a statement, the WHO said: “Africans deserve to use medicines tested to the same standards as people in the rest of the world. Even if therapies are derived from traditional practice and natural, establishing their efficacy and safety through rigorous clinical trials is critical.”

When did it become a requirement that whenever Africans develop anything it has to be measured under Eurocentric metrics?

Does WHO pay taxes to Africa?
Who voted for it so as to have powers to decide what is good for Africa?

We Africans have had enough of Medical imperialism and Colonialism.
Over the years we have been used as guinea pigs but in 2020 we say #NeverAgain

Image may contain: 1 person, standing
Image may contain: 1 person, suit
 
When did it become a requirement that whenever Africans develop anything it has to be measured under Eurocentric metrics?
Does WHO pay taxes to Africa?
Who voted for it so as to have powers to decide what is good for Africa?
huu ni ujinga, ni sawa na kusema kuwa Africa tuna formula yetu ya Maji (water) ni H4O na si H2O. We are dealing with science, hakuna partisan hapa ni natural principles
 
huu ni ujinga, ni sawa na kusema kuwa Africa tuna formula yetu ya Maji (water) ni H4O na si H2O. We are dealing with science, hakuna partisan hapa ni natural principles
Kwani WHO inathibitisha dawa zetu zote za asili za magonjwa yetu yote? Wewe ndiye aongeae ujinga.
 
Watuache, babu zetu wametumia mizizi, mitishamba. Kujifukiza, wanyama, n.k na walipona magonjwa mengi.

Nliwahi kwenda hospital in I nikiwa na funza kidoleni wakaniambia nitoe kucha nikakimbia, baada ya kuulizia Tiba asili nikaambiwa nitumie ndura na kweli nikaona, nikamwambia daktari kwanini wasiingize hii Tiba asili akaniambia haitambuliki kisayansi nikamuona nyau tu.

Tuthamini Tiba asili, mzungu kutokuitambua Tiba kusitufsnye na sisi tuone haifai,
 
Afrika kama wanataka kujitegemea ni wazo zuri sana lkn wajitegemee kwa kila kitu na pia hii tabia yao ya unafiki waiache, sio unaongea hivi kisha kesho asubuhi unapanda ndege na bakuli kwenda kuombaomba Ughaibuni.

Huwezi leo ukadai umepata dawa ya kutibu Coronavirus huku hata maleria tu inakuhenyesha.

Ni siasa tu za kijinga wanaleta katika mambo ya kitaalam. Wao wakae wasubiri chanjo, waache utapeli.
 
Kwa taarifa yako TZ inatengeneza dawa za malaria na tuna dawa nyingi za asili ambazo WHO hawazijui hata kidogo wala habari zake hawana. We endelea kusubiri dawa toka kwa master wako UK kama mtumwa wa akili. Wazungu wameshindwa na hili na kuwalaza watu hospitali wafe taratibu, wajinga ka nyie mnawategemea kwa sababu hamna akili zenu wenyewe.
 
Wasitutishe kwani maisha yalianzia ulaya? Huu ugonjwa umeingia na utapita tu kama magonjwa mengine yaliyopita na mengine bado yapo.
 
Sometimes mabeberu nao wanazingua mno.. Kwanini wanadhani kuwa waafrika hawawezi kufanya chochote kikawa na manufaa kwa wote na kwenye jumuiya ya kimataifa?
Huu ndio wakati wa kujisimamia wenyewe.. Kukataa misaada yao na kujitenga nao.. Tungekufa kama wanavyokufa wao wangetubeza na kutucheka mno.. Hebu watuache tupumue kidogo loh...

Jr[emoji769]
 
Hawa Makupe, watuache na dawa zetu, sisi tumeona inatusaidia, Sasa Kama wao wanadhani haijathibitishwa kisayansi, mbona tangu imetangazwa hawajachukua sample na kwenda nayo kwenye sayansi zao ili wathibitishe ukweli.

Wamebaki tu kutuwarn. Wana roho mbaya Hawa, hata Shetani haoni ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa yako TZ inatengeneza dawa za malaria na tuna dawa nyingi za asili ambazo WHO hawazijui hata kidogo wala habari zake hawana. We endelea kusubiri dawa toka kwa master wako UK kama mtumwa wa akili. Wazungu wameshindwa na hili na kuwalaza watu hospitali wafe taratibu, wajinga ka nyie mnawategemea kwa sababu hamna akili zenu wenyewe.
Hizo dawa za asili za maleria zinaitwaje na ziko wapi na mbona serikali kila siku inaagiza ALU au na wenyewe pia ni wajinga. Hakuna unachoongea.
 
Hizo dawa za asili za maleria zinaitwaje na ziko wapi na mbona serikali kila siku inaagiza ALU au na wenyewe pia ni wajinga. Hakuna unachoongea.
Una mengi ya kujifunza, fanya utafiti dawa gani zinazotumika TZ zinatengenezwa hapo hapo, kuanzia za maumivu, kifua mpaka Malaria hosptalini.
 
Sometimes mabeberu nao wanazingua mno.. Kwanini wanadhani kuwa waafrika hawawezi kufanya chochote kikawa na manufaa kwa wote na kwenye jumuiya ya kimataifa?
Huu ndio wakati wa kujisimamia wenyewe.. Kukataa misaada yao na kujitenga nao.. Tungekufa kama wanavyokufa wao wangetubeza na kutucheka mno.. Hebu watuache tupumue kidogo loh...

Jr[emoji769]
Hawajazuia tiba za asili lakini wanahimiza zifanyiwe utafiti wa kitaalamu kujua wagonjwa wangapi wamepona, wadudu walipungua kwa kiasi gani na Kuna tofauti gani kati ya waliotumia dawa na wasiotumia.
 
Back
Top Bottom