The world is sinking!!

The world is sinking!!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Mwanzo ilikua ni familia yenye upendo yenye watoto wawili,Kati ya Jonson Nyathi na Annie Khumalo waliokuwa wakiish Soweto,Afrika ya kusini,mambo yalibadilika baada ya mke wa bwana Nyathi kukutana na mwanadada Deborah Mphulela na kuanzisha mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja yaliyosababisha Annie kudai talaka ili akaishi na Deborah,hakumficha mumewe bali alimwambia ukweli,mume alijaribu kumsihi mke wake na kumkumbushia kiapo walichoapa kanisan lakin mke hakujali,ndipo bwana Nyathi alipopeleleza na kujua alipokuwa anaishi Deborah kisha usiku wa kuamkia jumapili alikwenda kwa mwanadada huyo na kumpiga risasi na kumuua,kisha jumapili mchana akamwambia mke wake kuwa siku hiyo atampa talaka lakini angalau watoke out na watoto wao kabla hawajatengana,Annie hakukataa,mchana wa jumapili majira ya saa kumi jioni Familia yote ya bwana Nyathi ilikuwa ndani ya gari ndipo bwana Nyathi akayumbisha gari kulifuata lori walilokuwa wanapishana na kuligonga na kusababisha ajali iliyochukua maisha yao wote wanafamilia ya bwana Nyathi!Jamani kuweni makini na ndoa zenu!
 
Mh na kweli the world is sinking cjui tunakoelekea,
 
Jamani kuna watu wanaendeshwa na mapenzi mpaka noma....sasa hapo ndo kafaidi nini?
 
Love is blind and you can not blame/accused someone for been driven by love hadi yakukute!!

Liz, mganga hajinyoi, just keep your fingers closed!
 
Da, inaskitisha. Huyu mama anadai talaka kisa anataka kusagwa?,..look now! Sasa watoto waliingizwaje kwenye kadhia hii?
Sijui mambo mengine, lkn naamini watoto watatwaliwa mbinguni.
 
Maskini huyu inaonekana kabisa aliona ni jambo la aibu kwake na kwa family yao, na akaona akiwaacha watoto hai watafata matendo hayo ya huyo mama, sie waafrica bado hatujayakubali kwa sana mapenzi ya jinsia moja, bado tunaona kama ni kitu cha aibu na fedheha sana. maskini baba wa watu
 
Mwanzo ilikua ni familia yenye upendo yenye watoto wawili,Kati ya Jonson Nyathi na Annie Khumalo waliokuwa wakiish Soweto,Afrika ya kusini,mambo yalibadilika baada ya mke wa bwana Nyathi kukutana na mwanadada Deborah Mphulela na kuanzisha mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja yaliyosababisha Annie kudai talaka ili akaishi na Deborah,hakumficha mumewe bali alimwambia ukweli,mume alijaribu kumsihi mke wake na kumkumbushia kiapo walichoapa kanisan lakin mke hakujali,ndipo bwana Nyathi alipopeleleza na kujua alipokuwa anaishi Deborah kisha usiku wa kuamkia jumapili alikwenda kwa mwanadada huyo na kumpiga risasi na kumuua,kisha jumapili mchana akamwambia mke wake kuwa siku hiyo atampa talaka lakini angalau watoke out na watoto wao kabla hawajatengana,Annie hakukataa,mchana wa jumapili majira ya saa kumi jioni Familia yote ya bwana Nyathi ilikuwa ndani ya gari ndipo bwana Nyathi akayumbisha gari kulifuata lori walilokuwa wanapishana na kuligonga na kusababisha ajali iliyochukua maisha yao wote wanafamilia ya bwana Nyathi!Jamani kuweni makini na ndoa zenu!

Hapo kwenye nyekundu nna kaswali kamoja. Ni nani aliyebaki kuhadithia haya uliyo tueleza?
 
Code:

huyu jamaa alikuwa mgonjwa wa umiliki alipoona umiliki umekauka hamu ya kuishi nayo ikaisha............
 
Love is blind and you can not blame/accused someone for been driven by love hadi yakukute!!

Liz, mganga hajinyoi, just keep your fingers closed!

Mapenzi ni upofu au sisi ndo vipofu wa mapenzi????
 
Code:
Mwanzo ilikua ni familia yenye upendo yenye watoto wawili,Kati ya Jonson  Nyathi na Annie Khumalo waliokuwa wakiish Soweto,Afrika ya kusini,mambo  yalibadilika baada ya mke wa bwana Nyathi kukutana na mwanadada Deborah  Mphulela na kuanzisha mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja  yaliyosababisha Annie kudai talaka ili akaishi na Deborah,hakumficha  mumewe bali alimwambia ukweli,mume alijaribu kumsihi mke wake na  kumkumbushia kiapo walichoapa kanisan lakin mke hakujali,ndipo bwana  Nyathi alipopeleleza na kujua alipokuwa anaishi Deborah kisha usiku wa  kuamkia jumapili alikwenda kwa mwanadada huyo na kumpiga risasi na  kumuua,kisha jumapili mchana akamwambia mke wake kuwa siku hiyo atampa  talaka lakini angalau watoke out na watoto wao kabla hawajatengana,Annie  hakukataa,mchana wa jumapili majira ya saa kumi jioni Familia yote ya  bwana Nyathi ilikuwa ndani ya gari ndipo bwana Nyathi akayumbisha gari  kulifuata lori walilokuwa wanapishana na kuligonga na kusababisha ajali  iliyochukua maisha yao wote wanafamilia ya bwana Nyathi!Jamani kuweni  makini na ndoa zenu!

huyu jamaa alikuwa mgonjwa wa umiliki alipoona umiliki umekauka hamu ya kuishi nayo ikaisha............
Mkuu hapo sio umiliki tu hata fedheha haziwezi kuzihimili, alishindwa kuvumilia jambo la aibu namna hii
 
Back
Top Bottom