Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mhhh!
Mkuu, weka maelezo ya kutosha! Mi naona kama vile basi hili lilikosa breki na kupitiliza hadi majini!
Inanipa shida kidogo kuamini kama kweli linatembea kwenye maji, maana sioni propelling yake ikoje. After all halijaonyeshwa likiwa limezama 100%...??(but wewe kama Mzizi nakuaminia mbaya!)