Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,094 Nov 1, 2016 #2 Hahaha refa alitisha Nawaona Ureno ya 2004 hadi kama 2007 hivi, Ila hiyo timu nyingine sja wagundua Ngoja nika google
Hahaha refa alitisha Nawaona Ureno ya 2004 hadi kama 2007 hivi, Ila hiyo timu nyingine sja wagundua Ngoja nika google
Deadbody JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 4,274 Reaction score 6,595 Nov 1, 2016 Thread starter #3 Hao ni uholanzi mkuu Iceman 3D said: Hahaha refa alitisha Nawaona Ureno ya 2004 hadi kama 2007 hivi, Ila hiyo timu nyingine sja wagundua Ngoja nika google Click to expand...
Hao ni uholanzi mkuu Iceman 3D said: Hahaha refa alitisha Nawaona Ureno ya 2004 hadi kama 2007 hivi, Ila hiyo timu nyingine sja wagundua Ngoja nika google Click to expand...
gustavolu Senior Member Joined Oct 31, 2016 Posts 199 Reaction score 390 Nov 1, 2016 #4 show la kibabe
born again pagan JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 2,336 Reaction score 1,491 Nov 2, 2016 #5 Hivi fainali ya uefa ndogo kati ya Liverpool vs Alaves ya Spain mwaka 2001 ilikuwa na kadi ngapi vile?? Nakumbuka alaves walibaki nane uwanjani.
Hivi fainali ya uefa ndogo kati ya Liverpool vs Alaves ya Spain mwaka 2001 ilikuwa na kadi ngapi vile?? Nakumbuka alaves walibaki nane uwanjani.
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 10,962 Reaction score 7,830 Nov 22, 2016 #6 tafuta match iliyobatizwa kwa jina la " The battle of Bern " hii mechi ilikuwa na undava wa hali ya juu sana kwanzia uwanjani hadi kwenye dresssing rooms. ilikuwa ni baina ya Hungary Vs Brazil.
tafuta match iliyobatizwa kwa jina la " The battle of Bern " hii mechi ilikuwa na undava wa hali ya juu sana kwanzia uwanjani hadi kwenye dresssing rooms. ilikuwa ni baina ya Hungary Vs Brazil.