Theluthi Moja wa Wasichana wa Tanzania wako abused kabla hawajafika 18!

Halafu kuna hili la wadada wa kazi jamani jamani.... tuanzie hapo hawa watu ni hatari sana wanaharibu watoto kila leo

Hmmm...wengine tulianzia kwa hao wadada ujue....so I beg to differ. I turned out to be a very upstanding member of the community.

Mtu mzima akibakwa (mf chuoni nk) akashitaki mwisho wa siku anageuziwa kibao na kudhalilishwa zaidi, ataonekena ni mzushi na walikubaliana ndio maana watu wakubwa wengi hawashitaki

Kweli kabisa, kuna watoto huku mchana omba omba usiku vicd.

Wanaume na nyie vioneeni huruma mtafute wa umri wenu.
Kama wanafanya kwa hiari yao, mi naona ni sawa tu provided wanapata kipato!

sorry UNICEF they are not abused most of them give themselves voluntarily and they are happy.next time RESEARCH on those who are not Virgin at this age and try to find out the reasons. start from primary shool and then secondary schools.

Unaelewa maana ya mtoto? Hakuna kitu voluntarily kwa watoto

Unaelewa maana ya mtoto? Hakuna kitu voluntarily kwa watoto

Umeona Gai,

Kazi ni ngumu kuliko tunavyofikiri...Jamii yetu inaamini kuwa Mwanamke (of any age) ni kiumbe wa kutoa tu bila kujali kama kaamua au la! Hata wabibi wanaamini hivyo hivyo na kushikiria huo mtazamo.

Safari bado ni ndefu sana,

Kuna mahali nilisoma kuwa sheria za Tanzania zinaruhusu mtu kuolewa miaka 14 na chini ya hapo.

MIAKA 15 MSICHANA NA MIAKA 18 MVULANA ( Umri wa chini kuweza kuoana)

Hata hivyo waweza kuoana chini ya umri huo kwa idhini ya wazazi au mahakama! Hii inatokana na ku accomodate mila na imani za watu za kidini.Wanaolewa hata wakiwa na miaka 12! Lakini hawaruhusiwi kuingiliwa! Sheria ndivyo inavyosema!

nadhani ni kweli

Umeona Gai,

Kazi ni ngumu kuliko tunavyofikiri...Jamii yetu inaamini kuwa Mwanamke (of any age) ni kiumbe wa kutoa tu bila kujali kama kaamua au la! Hata wabibi wanaamini hivyo hivyo na kushikiria huo mtazamo.

Safari bado ni ndefu sana,

DC we acha tu, mtoto wa miaka 12 unaambiwa "kataka mwenyewe".

Na mbaya zaidi wanawake wenyewe hawajui kama waliwahi kunyanyaswa.

Kinadharia yes...Ila kiukweli kuna ndoa ya namna hiyo?

Watu waache tamaa ya fisi...kwani wanawake waliokomaa wameisha hadi waanze kumezea mate vitoto vidogo?

Sorry..nimejisahau kwamba na mimi ni mwanamume...tunapenda mizogo zaidi zaidi ya fisi....ni wachache tu wanaweza kujiwindia na kula vitu fresh and organic!!

DC we acha tu, mtoto wa miaka 12 unaambiwa "kataka mwenyewe".

Na mbaya zaidi wanawake wenyewe hawajui kama waliwahi kunyanyaswa.

Unajua G,

Binadamu ni kiumbe wa ajabu sana....Kuna jamaa alikuwa anapenda sana totoz...bahati nzuri au mbaya kazaa watoto wa kike tu (anao 2). Hapo awali hakuwa na tatizo la wageni wa aina zote nyumbani kwake..Ila watoto walipoanza kukua alifukuza kila kiumbe kinachoitwa mwanamume! Ni ruksa kwenda pale ila usiombe kulala...

Sasa huwa najiuliza...wale aliokuwa anawapanda panda hawakuwa na baba au mama zao???

Kama wanafanya kwa hiari yao, mi naona ni sawa tu provided wanapata kipato!

hakuna mtoto anayefanya kwa kupenda huo uchafu. Kutakuwa na reason/forces behind.

Tatizo ni perception ya abuse....wengi tunaona kama ni haki zetu ku-abuse....
Its deep down into us....
Japo pia mwingine haipaswi ku-glabolise definition ya abuse......

Tatizo ni perception ya abuse....wengi tunaona kama ni haki zetu ku-abuse....
Its deep down into us....
Japo pia mwingine haipaswi ku-glabolise definition ya abuse......

So what's your definition of abuse?

shule za msingi mfano

hasa za vijijini,walimu wanatembea na wanafunzi kama culture hivi

waziwazi kabisa

sasa la kushangaza mpaka university wadada wanadhalilishwa na wako kimyaa

university wadada wanataka wenyewe bana!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…