Theluthi moja ya shamba la viazi ulaya/mviringo inauzwa Tukuyu

Mtyela Kasanda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
554
Reaction score
818
Sehemu ya shamba la viazi mviringo yaani ⅓ ya eka moja, inatoa vipeto ( gunia za debe 4) kuanzia 12 guaranteed.

Lipo karibu na barabara pia unaweza kujenga nyumba na sehemu ikabaki.

Bei ya kutupa milioni 2 na laki 3.
Viazi vina faida sana. Wasiliana PM au piga 0756 254 925.

78e90b19c577eb01a9ac691f759b0547.0.jpg
 
Nilidhani mada inayohusu theluthi ya viazi kutoka Ulaya vinauzwa Tukuyu [emoji23][emoji23]
 
Kweli mahesabu yana ugumu wake. Sijafahamu mtoa mada anamaanisha nini hasa, japo najua anauza shamba.

Je hiyo theluthi moja anayoizungumzia ni theluthi moja ya eneo/ukubwa gani? Mfano: Heka au nusu heka?
 
Sehemu ya shamba la viazi mviringo yaani ⅓ ya eka moja, inatoa vipeto ( gunia za debe 4) kuanzia 12 guaranteed.

Lipo karibu na barabara pia unaweza kujenga nyumba na sehemu ikabaki.

Bei ya kutupa milioni 2 na laki 3.
Viazi vina faida sana. Wasiliana PM au piga 0756 254 925.

View attachment 1239995
🙄 unatuchanganya
 
Kweli mahesabu yana ugumu wake. Sijafahamu mtoa mada anamaanisha nini hasa, japo najua anauza shamba.

Je hiyo theluthi moja anayoizungumzia ni theluthi moja ya eneo/ukubwa gani? Mfano: Heka au nusu heka?
Kwan kumsaidia heka moja=70*70=4900sqm.yeye anauza theluthi yake ⅓ hivyo 4900sqm ÷3~1640sqm.ambacho hujaelewa hapo ni hesabu au biashara yenyewe?
 
Kitu ambacho sikuelewa ni hiyo ⅓, nikataka kujua ni ⅓ ya eneo kubwa kiasi gani. Maana hakueleza kuwa ⅓ ya heka. Nikafikiri labda ana heka 20000 na anauza ⅓.
 
Back
Top Bottom