Asnt kwa taarifawalinichongea kwa Mods, nikapigwa Ban...sasa am Back!
welcome backMvua 7 tu WAkuu
Kwamwandiko unatiwa hatiani bila Shaka Wakupige mvua kumi za masika itapendeza zaidi..Karibu mwana HR666 humu kuna watu hawapend kuona watu wakiwa maarufu
Karibu sana mshikaj wangu