TheMason: Member Anayekuja kwa Kasi JF

Kaka kwa majibu hayo tu mawili unamuona ni wa kuletwa nyumbani kweli huyo.

Hebu apite pembeni asije kumtia aibu mzee. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Achana nae..

Nishamjua..! Hii id yake ya pili

Ya kwanza imekula ban..
 
Asije kuwa BASHITE anaingia kwa JINA la The MASON...Ila poa tunasubiri mengi kutoka kwake...kwani mtu anazaliwa...anakua na kuzeeka.

Yawezekana MEMBERS wakongwe kama MSHANA Jr, The bold , Faiza FOX na wengine wengi wameamza kuchoka...

Tunahitaji nguvu mpya kwani watakuja na maarifa mapya....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…