Then & Now: Walipo kwasasa waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli

OC-CID

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2023
Posts
200
Reaction score
463
Kuna ambao wamerudi kuendelea na majukumu ya ulinzi kwa viongozi wengine. Na kuna ambao wapo katika majukumu mengine ya kitaifa. Baadhi yao ni kama ifuatavyo;

Huyu kwasasa ni mlinzi wa Naibu Spika

Huyu mwingine ni Mlinzi wa Mizengo Pinda

Na huyu mwingine yeye ni Mbunge wa kule Nkasi

Huyu mwingine ni dso kule Moshi
 
 
Kuna mwingine hata facebook hapatikani, sijui kajiondoa.
 
Hivi yule mtu mweusi, bonge Fulani hivi yuko wapi jamani?
 
Kwani Kuna mtu Huwa anajipangia wa kumlinda? Hicho si ni kitengo wakubwa wanateua nani wakalinde?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…