Mkuu kama utaona kudownload inakuwa ni ishu kwako tuwasiliane nitakupa series nyingine kama AMERICAN DAD, CALIFORNICATION, HUMAN TARGET, NIKITA, SHAMELESS US, SPARTACUS, VAMPIRE DIARIES na nyingine nyingi
Mkuu tafuta Vampires Diaries ni nzuri sana, ukihitaji series ambazo zitakufanya ucheke siku yako ikiwa mbaya angalia SHAMELESS US na CALIFORNICATION
Kaka, kwa tulio bongo mzigo tunaukamataje?, namkubali sana mshkaj na Michael Scofield, nadhan they made PB kuwa PB.
...forget not CSI - Las Vegas na "dada zake" CSI-Miami na CS_New YorkMkuu hebu nipe hints za hii Californication, huwa nairuka, vp ni drama, action or jst thriller?
Ni mchanganyiko wa drama na Comedy iangalie utacheka sana mkuu ila SHAMELESS US ndio nimecheka hadi basi nasubiria kuangalia Season 2Mkuu hebu nipe hints za hii Californication, huwa nairuka, vp ni drama, action or jst thriller?
Tena ishu kweli kudownload, ila nimeku PM mkuuMkuu ukihitaji tunaweza kuwasiliana nikakupatia maana ku-download inaweza kuwa ishu
thanx mkuutena ishu kweli kudownload, ila nimeku pm mkuu
Mkuu ukihitaji tunaweza kuwasiliana nikakupatia maana ku-download inaweza kuwa ishu