T Theopist Quintine New Member Joined Oct 16, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Oct 17, 2012 #1 habari wakubwa,mimi ni member mpya,hivyo naomba ruhusa kujiunga,nawasilisha.
Leak JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,916 Reaction score 43,505 Oct 17, 2012 #2 Karibu sana Theopist jisikie nyumbani! Na hapa utaratibu ni kukaguliwa na mkaguaji hayupo kifupi amefumaniwa na yuko kituoni kwa sasa, basi na kuruhusu uingie moja kwa moja na nta kuelekeza watu wa kuwa nao makini.
Karibu sana Theopist jisikie nyumbani! Na hapa utaratibu ni kukaguliwa na mkaguaji hayupo kifupi amefumaniwa na yuko kituoni kwa sasa, basi na kuruhusu uingie moja kwa moja na nta kuelekeza watu wa kuwa nao makini.
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,785 Oct 17, 2012 #3 Haya karibu! Una bahati umenikuta leo nimeamka vimetulia , vinginevyo ungekuta vimepanda nisingekuruhusu! Sema asante !
Haya karibu! Una bahati umenikuta leo nimeamka vimetulia , vinginevyo ungekuta vimepanda nisingekuruhusu! Sema asante !
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Oct 17, 2012 #4 Hahaha. Karibu mwaya. Mie ndo mpole kuliko member wote, ukipotea njia uniulize ila kama ni makusudi uchune.
Hahaha. Karibu mwaya. Mie ndo mpole kuliko member wote, ukipotea njia uniulize ila kama ni makusudi uchune.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Oct 17, 2012 #5 King'asti said: Hahaha. Karibu mwaya. Mie ndo mpole kuliko member wote, ukipotea njia uniulize ila kama ni makusudi uchune. Click to expand... Mletee mgeni kinywaji basi, bill kwa Ritz. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
King'asti said: Hahaha. Karibu mwaya. Mie ndo mpole kuliko member wote, ukipotea njia uniulize ila kama ni makusudi uchune. Click to expand... Mletee mgeni kinywaji basi, bill kwa Ritz.
The Son JF-Expert Member Joined Jul 30, 2012 Posts 459 Reaction score 58 Oct 18, 2012 #6 Karibu Theopist Quintine
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Oct 18, 2012 #7 Karibu sana JF.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Oct 18, 2012 #8 Karibu JF.
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 51,303 Reaction score 40,190 Oct 18, 2012 #9 Karibu sana.