Tetesi: (Theory) Nadharia ya wanasayansi kuweza kupandikiza ROHO kwa watu waliofariki - kuishi

Hata nadharia za fizikia kama ^string theory^ (nadharia mvumburiko) na ^quantum entanglement^ (mfungamano rusufa) na ^quantum superposition^ (upachanishaji rusufa) zote hizi KIMSINGI ni jitihada BUBU za kutafuta kurefusha uhai wa mwanadamu indefinitely.
 
Nafikiri wanachanga pesa za kuandaa vitu vyenye uwezo vya kuweza kuwafikisha juani
 
hata kwangu mimi robot naona ni kitu kikubwa kufanywa na mwanadamu robot zikiwekwa hisia za wanadam mchezo utakuwa umeisha.
 
Roho .. mtukufu wataitoa kwa mdudu gani? Waipandikize kwenye mwili uliokaa miaka 70 au na zaidi bila kujitingisha wenyewe ukakubali kuwa active tena
 
Back
Top Bottom