Hata nadharia za fizikia kama ^string theory^ (nadharia mvumburiko) na ^quantum entanglement^ (mfungamano rusufa) na ^quantum superposition^ (upachanishaji rusufa) zote hizi KIMSINGI ni jitihada BUBU za kutafuta kurefusha uhai wa mwanadamu indefinitely.
Hapo mzungu naweza kumwita bwege tu na hakuna kitu atanifanya😅Kabsa kabsa hapa anajiliwaza kwamba hashindwi na chochote
Deni ni himilivu tuendelee kuchangia mabilioni ya TozoAh ah ah mkuu vita hiyo nchi inadaiwa hiii na bado tunaendelea kukopa
hata kwangu mimi robot naona ni kitu kikubwa kufanywa na mwanadamu robot zikiwekwa hisia za wanadam mchezo utakuwa umeisha.