Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Hello Fellas
"Life is a School.I have been driving for some times now,I have hard accidents and incidents but I never learnt one thing.All accidents and incidents are results of careless driving either by me or other users of the road."
Ndugu zangu niwakumbushe msemo fulani kuhusu mafanikio "Success is a journey and not a destination" Hata hivyo kila safari ni lazima iwe na ORIGIN and DESTINATION,
Leo nataka tujadili sheria za usalama barabarani mintarafu Biashara na UJASIRIAMALI
Kwanza tambua kwamba Mafaniko ni SAFARI na SIO MWISHO wa safari.Kila unapomaliza hatua moja ya safari basi JUA kwamba umepiga hatua na mzunguko unaendelea.
PILI usiache kujifunza kwani alama na sheria za BIASHARA ni zile zile,haijalishi ukubwa wa biashara,Faida ni sawa na Mapato to Matumizi.Siri za mafanikio za biashara kubwa ndo hizo hizo za biashara kubwa na changamoto za biashara ndogo ndo hizo hizo za biashara kubwa haijalishi wewe ni nani.Kama ambavyo muuza karanga anaweza kuwa na changamoto za kukosa wateja au kukosa mtaji basi hata tajiri kama MO wa SIMBA au yule jamaa wa AMAZON kuna saa anakosa wateja au kukosa mtaji wa kufanya JAMBO fulani mpaka inabidi ajiongeze.
TATU usikate tamaa,Kumbuka UJASIRI na UVUMILIVU ndo siri ya Mafanikio na unapofika wakati unahisi kukata tamaa ujue kwamba umpeiga hatua kubwa na unachohitaji ni kutazama ulikotoka ili ujione kwamba bado unayosababu ya kuendelea kupambana.Katika Biashara ulikotoka ni mbali kuliko unakoenda kwani biashara zaote huanza kutoka SIFURI na kwenda kwenye MOJA.
NNE Usiogope kama utaona wengine ama wanaendesha Magari bora kuliko yako,ya bei gali kuliko yako,yenye kasi kuliko yako,Fahamu tu kwamba wote mnaendesha na kuongozwa kwa sheria zile zile za barabarani na kuna ambao wanatamani KA PASO kako na JINSI ambavyo hakali WESE JINGI.
Ndugu yangu biashara yoyte inaanza na wazo.WAZO LAKO lazima uliamini na uamini kwamba linao uwezo wa kukupa kipato.ANZIA HAPO KISHA ENDELEA KULIJENGA ZAIDI
Nakutakia kila heri.
Mimi bado naamini kwamba ILI uanzishe BIASHARA ni lAZIMA USAJILI JINA LA KAMPUN?/JINA LA BIASHARA,KISHA UINGIE CHAKA KUTENGENEZA BIDHAA?PRODUCT NA KUILETA SOKONI.UPATE LESENI NA KUFUNGUA AKAUNTI YA BENKI KISHA UANZE KUPOKEA MALIPO.
Hii haijalishi ukubwa au udogo wa biashara.
TUJADILI kwa pamoja kupitia masokotz@yahoo.com
Nawatakia SIMBA DAY NJEMA

- Sheria ya kwanza ni kukifahamu chombo chako cha safiri ambacho ni wewe na wazo lako la biashara.Je Chombo kiko imara,kina mafuta ya kutosha,kina OIL,kina tairi,kina mahitaji yote ya kuitwa chombo cha USAFIRI?Ukiingia safarini na chombo kibovu uwezekano wa kufika uendako na hata kufurahia safari yako ni mdogo sana.JIPANGE kabla Hujapangwa.
- Sheria ya PILI ya Mfanikio ya safari yako na kufahamu NJIA yako.Ndio huwezi kuwa unataka kwenda MTWARA kisha utafute NJIA ndefu kabisa ya kufika huku hapana Tafuta ruti fupi na salama kabisa ya kufika huko.
- Sheria ya tatu ya Mafanikio katika Safari ya YA UJASIRIAMALI ni kufahamu kuwa kuna watumiaji wengine pia wa barabara hiyo hivyo ni lazima ujue wanafanya nini.Ni lazima ujue wakiwasha indicator ufanyeje,wakiwasha taa ya break ufanyeje,wakiwasha double hazard ufanyaje n.k.Kutokufahamu hayo kutakufanya upate ajali na matukio ambayo yanaepukika kabisa.
- Sheria ya nne ya mafanikio katika barabra hii ni kufahamu kuwa kuna Matuta Speed humps na Speed limits.Sio kila utakapopita utaenda mwendo unaotaka,kuna maeneo utatakiwa usimame upishe wavuka kwa miguu,kuna maeneo utatakiwa upunguze mwendo kwa sababu mbalimbali.
- Sheria ya Tano ya mafanikio katika biashara ni kwamba kuna maeneo utakuta CHECK POINTS na TOCHI.Ndio hivyo kwenye biashara yako utakutana na check points nyingi sana na wakati mwingine zikiwa nalengo lile lile.Wakati mwingine utapigwa cheti kwa sababu ya kuzidisha SPEED limit(TOCHI) na wakti mwingine utatakiwa utoe hata pesa za BRUSH ila safari iwe salama.Ni sehemu ya mchakato wa safari yako