njaa pamoja na malnutrition iko hata Afrika Kusini, Misri na Nigeria...hivyo wasijaribu kukudangaya eti bongo hakuna njaa na umaskini wa kutupwa...bongo ni mojawapo ya nchi ambazo serikali huwa inazuia wanahabari kuripoti mambo mengine yanayoweza kuiaibisha nchi...hawana uhuru kabisa wale