Theresa Shayo: Miss Tanzania Mwafrika wa kwanza 1967 katika historia ya Tanzania

mrembo wa kwanza mwenye asili ya africa anaaanisha mweusi..ndonilikuwa mwaka 67 huko nyuma walikuwa wanashinda asili za kiarab na kihindi nk...nyambafu
Mashindano yameanza 1960, lakini "mrembo wa kwanza kunyakua taji hilo" ilikuwa 1967.

Okay, nadhani walikuwa wanatoka draw miaka saba mfululizo mpaka '67

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi hizo yalikuwa mashindano ya wanawake warembo sio vimbaumbau
 
kumbe kuonyesha mapaja nja kupo toka zamani tusiwalaumu hawa wasasa kua wanavaa nusu uch
 
That is an article from a website mkuu mbona kama wani lalamikia mimi? Haukuona link kwenda kwenye hiyo article? Ukitaka jaribu kuwasiliana na mtunzi wa hiyo article.
Kabla ya kunukuu article jiridhishe. Kuna washindi hujawataja tangu kuanza mpaka kwa Theresa, or else alikuwa wa kwanza 1960 na waliofuatia mpaka yanasitishwa hawakutajwa.
 
Wachangiaji wa huu uzi wamehamia sayari ya mars,wamezeeka and they are no more au wamebadili avatar kufuata upepo wa vijana. By the way hivi miss tanzania bado ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…