Theresa Shayo: Miss Tanzania Mwafrika wa kwanza 1967 katika historia ya Tanzania

Marhum Theresia Shayo alikua muungwana sana. Nilipata sikia habari zake kutoka kwa bi. Halima bint Mustafa Baraza. Mola Mlezi awaweke salama ndugu zetu kwenye makaburi yao.
 
Hizo zama hapakua na inchi inayoitwa tanzania,,,Tanganyika kama nitakua sahihi sijui
 
Very beautiful.
Hao ndiyo walioiona dunia,
Rest well Mrembo.

Jf ya miaka ile ilikuwa very hot
 
Mashindano yameanza 1960, lakini "mrembo wa kwanza kunyakua taji hilo" ilikuwa 1967.

Okay, nadhani walikuwa wanatoka draw miaka saba mfululizo mpaka '67
Lakn hata wangetoa droo hakukuwa na penalties? πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mashindano yameanza 1960, lakini "mrembo wa kwanza kunyakua taji hilo" ilikuwa 1967.

Okay, nadhani walikuwa wanatoka draw miaka saba mfululizo mpaka '67
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa na hao wazungu walikuwa wanagombea miss europe in tanganyika au
Alikuwa anatafutwa miss tanganyika maana sijawaelewa na walivyo rundo

MKuu Kulikua na wazungu wengi ambao ni raia wa Tanganyika, wengi walizaliwa Bongo na wengine walikulia toka wadogo. Baada ya Azimio la Arusha La Nyerere wazungu wengi na wahindi waliingia mitini, mana walijua kuwa hii nchi sio salama tena.
 
Aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…