These Are Public Toilets In Serengeti National Park Tanzania

Siku zote hao walinzi wapo au ndio unataka mambo ya chitchat?
 
Ninachowapendea hawa Simba huwa hawana matatizo na watu wafuatao sheria......ukinya pembeni au kukojoa kwenye nyasi ndipo utaona ubaya wao. Kama una mavi yamekubana, bisha hodi watakupisha. Big up Serikali ya Tanzania kuweka simba walinzi kama hawa. Tunahitaji kuwepo na simba wengine kwenye mbuga zetu zote ili kuepusha ujinga wa wataliii wanyao hovyo mbugani.
 
Vichaka vyote chooni kufanya Nini kama sio kutaka trouble tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…