Lovebird
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 6,383
- 9,337
1. Tuamkapo asubuhi tuwasalimu wazazi shikamoo baba/mama/kaka/dada etc HII NDO TABIA NJEMA !!
2. Mabata madomadogo yanaogelea katika shamba zuri la bustaani, yanapenda kuogelea bila viatuuu katika shamba zuuri la bustani
3. Asiyejua kusoma ni mjinga kabisaa akipata barua huitembeza kutwaaa, hodi hodiiii tusome barua ilitoka
4. Saa imefika ya kwenda nyumbani mama amepika wali wa naziiii kwaheri mwalimu kwaheriii ya kuonanaaaaaa...
When education was at least equal among the private and public primary schools