Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Asante sana wazee wenye wivu...penye shukrani tutawapa shukraniHongereni Sana wazee wa ukabila. Penye pongezi tutawapa pongezi. Big up Uhuru
tru dat...however, Uhuruto must gotrains will always be changed but stations will exist for the next 100 years, the old lunatic line is evidence of this.
tru dat...however, Uhuruto must go
don't spoil the thread with politics pleaseLazima aende zake!...ametutia hasara ya kuhangaika tena kutafuta treni nzuri siku za usoni.
Something we would have just done once and move on the next agenda....amekula hela sana hapa, yeye na huyo fisadi mwenzake!
Waondoke upesi!
ππππ flyover!! bure kabisahehe train za iizamani mnoooo//......
na bora huo mradi ulivyoisha tu hovyo kabisa,....
tulikuwa hatulali humu mitandaoni.....
sissi huku tz tunaendelea na maflyover yetu mji mzima wa dsm
ile station ya Nairobi CBD ilijengwa miaka 100 iliyopita...huwezi uka compare miundo mbinu ya enzi hizo na za kisasa..alafu skuelewi...wataka kusema baada ya miaka 20, stesheni hiz pya zitakuwa museum?Baada ya miaka 20 hayo yote yatabakia kuwa magofu tu, na hata hizo Treni za Mchina mnaziponda pia hazitakuwepo, we have been there man, Railway station ya Nairobi pia ni nzuri sana na ilikuwa hivyo hivyo wkt inafunguliwa leo hii ni Museum ya Mzungu kuja kuangalia colonial relics !
ile station ya Nairobi CBD ilijengwa miaka 100 iliyopita...huwezi uka compare miundo mbinu ya enzi hizo na za kisasa..alafu skuelewi...wataka kusema baada ya miaka 20, stesheni hiz pya zitakuwa museum?
Swali ni kwamba kwa nini imekufa? Ni nini kilichoiua? Na ugonjwa ulioiuwa umeshapatiwa kinga/tiba? Kuna nchi zina station za zamani zaid klk ya Nairobi lkn bado zinafanya kazi, hivyo maadamu kilichoua station ya Nairobi hakijashughulikiwa hata hii mpya pia itakufa hivyo hivyo!