Ooh, sikuona swali, hii ni Nairobi. Sijui wataiita aje. Nadhani itakuwa ya kulink Nairobi South na CBD at the current Railways. Kulikuwa na information kamili kuihusu
Hizo train sio mbaya kama unavyodhani, kama ni for short distances then ziko poa kabisa. Ila kama ni hundreds of miles then kweli hapo wamechemka maana they are a bit slow.
Hizo stations though, ni balaa aisee, hiyo standard ya kimataifa kabisa, inapita hadi baadhi ya stations za New York (kabla hujabisha uwe umefika New york utajua kua kuna stations nyingine mbovu kabisa chafuu). Kwa hili lazima tuwapongeze majirani.