They want me to marry, but where are the men?

kamanda, namimi nina pointi yangu nataka kumuandikia jamaa lakini acha niangalie wewe kwanza kama utatoka salama. hiyo rungu hapo pembeni inatisha hata kuiquote.
 
kwa hapo unaweza pata ukasaidie kulea watoto,hata mimi nikiwa na miaka 55 ntaanza kufikiria kuolewa tehe tehe tehe.

kwa nn usibadili mawazo tu tukaunganisha mioyo yetu wakati huu?
 
Ha ha ha mkuu ume nichekesha. Si unajua tena mwanamke ana shikilia ufungua wa ego ya mwanaume? Hata kama unajiona handsome vipi dada akisha kuita ugly lazima uka jicheki kwenye kioo mara mbili mbili ha ha.

Binafsi mimi nadhani wanawake wengi wana chukulia ndoa kama ultimate goal bado japo kutokana na maisha kubadilika hamna haraka kama zamani (siku wepo zamani nahisi tu). Ila wanawake wengi (si wote) bado wanajali kuolewa.

Ila ngoja nisiongee kwa niaba ya dada zetu kwa sababu wao wenyewe wapo humu wata tueleza hisia zao. Mie naogopa bwani nyundo yangu nisije nika geuziwa mimi ha ha.
 
Taabu ya nini wakati raha chungu nzima,ila usife moyo subiri nifikishe 55.

Ha ha Shosti hautaki mambo ya kununua nguruwe mzima wakati una hitaji sausage tu (no pun intended)seti? Maana na wanaume nao siku hizi wana semaga ya nini kununua ng'ombe mzima wakati shida yangu maziwa tu (no pun intended).
 
kamanda, namimi nina pointi yangu nataka kumuandikia jamaa lakini acha niangalie wewe kwanza kama utatoka salama. hiyo rungu hapo pembeni inatisha hata kuiquote.

Usiogope mkuu Bigirita rafiki yangu kama walivyo members wote. Mtu akiwa si mvunjaji wa sheria za JF mbona tuna patana tu. Take me as a friend who is a police. Bar tuta kunywa wote ila ukifanya uhalifu itabidi tu nikutie pingu ha ha.
 
Taabu ya nini wakati raha chungu nzima,ila usife moyo subiri nifikishe 55.

wakati huu ndio mzuri shosti mambo ya kuongezea sijiu mkuyati au viagra hayanogi. Ila ngoja nisiseme sana, wasije amka wamiki wakaanza kunishambilia.
 
Usiogope mkuu Bigirita rafiki yangu kama walivyo members wote. Mtu akiwa si mvunjaji wa sheria za JF mbona tuna patana tu. Take me as a friend who is a police. Bar tuta kunywa wote ila ukifanya uhalifu itabidi tu nikutie pingu ha ha.

ahaaa! Afazali manake nilipata tetesi mnatest mitambo mipya ya kupiga BAN kwa hiyo tangu nilipokuona nikawa nachangia kwa makini kweli. Basi wacha niwe huru kidogo.
 
Usiogope mkuu Bigirita rafiki yangu kama walivyo members wote. Mtu akiwa si mvunjaji wa sheria za JF mbona tuna patana tu. Take me as a friend who is a police. Bar tuta kunywa wote ila ukifanya uhalifu itabidi tu nikutie pingu ha ha.
pamoja sana mkuu!
 
wakati huu ndio mzuri shosti mambo ya kuongezea sijiu mkuyati au viagra hayanogi. Ila ngoja nisiseme sana, wasije amka wamiki wakaanza kunishambilia.

Silali njaa mie,ila nahofia nikifika huko naweza kulala njaa siku mojamoja.
 
ahaaa! Afazali manake nilipata tetesi mnatest mitambo mipya ya kupiga ban kwa hiyo tangu nilipokuona nikawa nachangia kwa makini kweli. Basi wacha niwe huru kidogo.

kumbe hata jaluo ipo ogopa ban?
 
pamoja na hayo, acha kuishi kwa hisia ndugu.

Asante.
 
weeeh! Wacha mucheso kabisa. Mutu hapa napata raha namuna hii halafu keso unataka nikwende geresani?
mkuu usjali sana, ukienda tutakuanzishia sredi ya kuomba ufunguliwe, then utapata kujua nani swahiba zako na nani adui zako (hii ndio advantage ya ban)
 
mkuu usjali sana, ukienda tutakuanzishia sredi ya kuomba ufunguliwe, then utapata kujua nani swahiba zako na nani adui zako (hii ndio advantage ya ban)

Ha ha Jaluo_Nyeupe una niruhusu nikupe kaban ili tutest theory ya Klorokwini? Ha ha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…