Thibaut Courtois alitupiwa mfuko wenye Kinyesi

Thibaut Courtois alitupiwa mfuko wenye Kinyesi

oko majimaji

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
790
Reaction score
2,079
Jana tarehe 29 Septemba kwenye Madrid derby golikipa wa Real Madrid, Thibaut Courtois alitupiwa kifuko cha Kinyesi a.k.a Nnyaa na mashabiki wa Atletico Madrid.
20240930_094227.jpg
 
Kwenye viwanja huku mikoani watu wa jukwaa la juu wanamwaga mikojo kwa wale walio chini yao.

Na kama siomikojobasi ni maji+dagaa walio vundikwa kwa wiki nzima so you can imagine
 
Kwenye viwanja huku mikoani watu wa jukwaa la juu wanamwaga mikojo kwa wale walio chini yao.

Na kama siomikojobasi ni maji+dagaa walio vundikwa kwa wiki nzima so you can imagine
Hahahaha! Sasa goli likifungwa mtu anaanza kumwaga maji yana mate basi ni shida tu
 
Back
Top Bottom