oko majimaji JF-Expert Member Joined Nov 11, 2016 Posts 790 Reaction score 2,079 Sep 30, 2024 #1 Jana tarehe 29 Septemba kwenye Madrid derby golikipa wa Real Madrid, Thibaut Courtois alitupiwa kifuko cha Kinyesi a.k.a Nnyaa na mashabiki wa Atletico Madrid.
Jana tarehe 29 Septemba kwenye Madrid derby golikipa wa Real Madrid, Thibaut Courtois alitupiwa kifuko cha Kinyesi a.k.a Nnyaa na mashabiki wa Atletico Madrid.
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 Sep 30, 2024 #2 Kwenye viwanja huku mikoani watu wa jukwaa la juu wanamwaga mikojo kwa wale walio chini yao. Na kama siomikojobasi ni maji+dagaa walio vundikwa kwa wiki nzima so you can imagine
Kwenye viwanja huku mikoani watu wa jukwaa la juu wanamwaga mikojo kwa wale walio chini yao. Na kama siomikojobasi ni maji+dagaa walio vundikwa kwa wiki nzima so you can imagine
U Umkonto JF-Expert Member Joined Dec 27, 2018 Posts 2,652 Reaction score 4,593 Oct 1, 2024 #3 Mr Q said: Kwenye viwanja huku mikoani watu wa jukwaa la juu wanamwaga mikojo kwa wale walio chini yao. Na kama siomikojobasi ni maji+dagaa walio vundikwa kwa wiki nzima so you can imagine Click to expand... Hahahaha! Sasa goli likifungwa mtu anaanza kumwaga maji yana mate basi ni shida tu
Mr Q said: Kwenye viwanja huku mikoani watu wa jukwaa la juu wanamwaga mikojo kwa wale walio chini yao. Na kama siomikojobasi ni maji+dagaa walio vundikwa kwa wiki nzima so you can imagine Click to expand... Hahahaha! Sasa goli likifungwa mtu anaanza kumwaga maji yana mate basi ni shida tu