JamiiCheck
JF-Expert Member
- Nov 3, 2023
- 245
- 267
Hii ni nzuri kueupuka watu kuamini taarifa zisizo na ukwel8 wowote.Kumbuka si kila Taarifa unayokutana nayo mtandaoni ni ya Kweli. Thibitisha kabla ya kuiamini na kuisambaza, kwani utaiweka jamii kuwa salama dhidi ya Taarifa Potofu.
Unaweza kuwasilisha Taarifa inayokupa mashaka katika jukwaa la JamiiCheck.com ili kupata msaada wa Uhakiki.