Thibitisha Mungu kama Yupo?

Thibitisha Mungu kama Yupo?

apologies

Member
Joined
Mar 9, 2024
Posts
13
Reaction score
11
Swali hili linauizwa sana!! Na ndugu wengi wa mahali hapa, kwa sisi wakristo ni swali jepesi ? Sana na wala hatuthibitishi kiroho tunaweza kuthibitisha kwa kisayansi na kihistoria.
Sisi kwetu Mungu sio fumbo, bali uhalisia katika maisha Yetu , kwa sababu ameshatupa mfano wake ,

Kwa wakristo wote tunakubaliana Yesu kristo sio mtume bali ni mwana wa Mungu, na tunakubali hali kuwa hali ya Mungu kabla hajaja dunia.
Wafilipi 2:6,
ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho;

Na tunakubali Yesu ni mfano wa Mungu
Waebrania 1:3
Yeye kwa kuwa ni mng'ao wa utukufu wake na chapa(photocopy)ya nafsi yake,

Na aliye muona Yesu amemuona Mungu
Yohana 14:9
Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?

Najua historia iko wazi kristo amewai kuwepo
Hata kalenda tuliona ni shahidi maana baada ya kristo watu wakaanza kuhesabu miaka upya.

Mungu yupo ni dhahiri kafunuliwa kwa njia ya Yesu Kristo,
Mambo yapo wazi tu. YN

1 Wakorintho 14:38
Lakini mtu akiwa mjinga, na awe mjinga.

Ila MUNGU YUPO, HISTORIA NA SAYANSI INATHIBITISHA AMEWAKUWEPO YESU KRISTO . Yesu Ni mfano wa Mungu halisi. Kama unaelewa Yesu amewai kuwepo na yeye anasema aliyemuona yeye amemuona Mungu.
 
Wote tunafahamu na tunakubaliana kwamba Harry Potter ni kitabu cha hadithi ya kufikirika.

Japo kuwa kimesheheni maelezo yanayolenga kuelezea mazingira ambayo ni halisia yaliyopo na yanayothibitika.

Lakini ni wazi kuwa hatuwezi kuchukua hiyo kama hoja ya sisi kukubali hadithi ya kwamba Harry Potter alisoma chuo cha uchawi na aliusaidia ulimwengu dhidi ya Voldemot.

Lakini vipi kama kungekuwa na uthibitisho uonaonesha kuna mtu aliyewahi kuwepo anaitwa Harry Potter anaishi Uingereza?

Vipi kama mtu huyo akaenda mbali akakuonesha na picha yake kuthibitisha Harry Potter yupo?

1737191493283.jpeg

Sasa umeshapewa uthibitisho unaoonesha Harry Potter yupo. Naanza kuamini kuwa sasa huna shaka na masimulizi yote uliyowahi kuyasikia kuhusu Harry Potter.

Na kama haijakufanya uamini then kwanini ufikirie masimulizi ya kitabu chako kuhusu Yesu yataweza kum convice Atheists akubaliane nayo kisa tu kuna ushahidi wa kihistoria unaoonesha kuwa mtu aliyeitwa Yesu alikuwepo?
 
Yeye ndio aliyekuumba na hujajiumba na Kuna muda utakufa na atakuuliza jinsi ulivyoishi duniani
 
Wote tunafahamu na tunakubaliana kwamba Harry Potter ni kitabu cha hadithi ya kufikirika.

Japo kuwa kimesheheni maelezo yanayolenga kuelezea mazingira ambayo ni halisia yaliyopo na yanayothibitika.

Lakini ni wazi kuwa hatuwezi kuchukua hiyo kama hoja ya sisi kukubali hadithi ya kwamba Harry Potter alisoma chuo cha uchawi na aliusaidia ulimwengu dhidi ya Voldemot.

Lakini vipi kama kungekuwa na uthibitisho uonaonesha kuna mtu aliyewahi kuwepo anaitwa Harry Potter anaishi Uingereza?

Vipi kama mtu huyo akaenda mbali akakuonesha na picha yake kuthibitisha Harry Potter yupo?

View attachment 3205224

Sasa umeshapewa uthibitisho unaoonesha Harry Potter yupo. Naanza kuamini kuwa sasa huna shaka na masimulizi yote uliyowahi kuyasikia kuhusu Harry Potter.

Na kama haijakufanya uamini then kwanini ufikirie masimulizi ya kitabu chako kuhusu Yesu yataweza kum convice Atheists akubaliane nayo kisa tu kuna ushahidi wa kihistoria unaoonesha kuwa mtu aliyeitwa Yesu alikuwepo?
Nimejaribu kukuonesha kwa lugha nyepesi Mungu yupo, na amewai kuwepo kwa jinsi ya mwili,, emanuel.....Mungu pamoja nasi...sasa unaanza kubishana na ukweli....
Kama umeamua kuwa mjinga endelea kuwa mjinga.
 
Hujathibitisha bado, thibitisha kuwa Mungu yupo?
Tumethibitisha kwa lugha nyepesi , Yesu kristo ni Mungu katika umbile la kibinaadamu...sasa swali lako liwe tuthibitishe kama Yesu kristo amewai kuwepo duniani...ila swala la Mungu tumefungua yupo ...ndio Yesu kristo kwa jinsi ya mwili
 
Wote tunafahamu na tunakubaliana kwamba Harry Potter ni kitabu cha hadithi ya kufikirika.

Japo kuwa kimesheheni maelezo yanayolenga kuelezea mazingira ambayo ni halisia yaliyopo na yanayothibitika.

Lakini ni wazi kuwa hatuwezi kuchukua hiyo kama hoja ya sisi kukubali hadithi ya kwamba Harry Potter alisoma chuo cha uchawi na aliusaidia ulimwengu dhidi ya Voldemot.

Lakini vipi kama kungekuwa na uthibitisho uonaonesha kuna mtu aliyewahi kuwepo anaitwa Harry Potter anaishi Uingereza?

Vipi kama mtu huyo akaenda mbali akakuonesha na picha yake kuthibitisha Harry Potter yupo?

View attachment 3205224

Sasa umeshapewa uthibitisho unaoonesha Harry Potter yupo. Naanza kuamini kuwa sasa huna shaka na masimulizi yote uliyowahi kuyasikia kuhusu Harry Potter.

Na kama haijakufanya uamini then kwanini ufikirie masimulizi ya kitabu chako kuhusu Yesu yataweza kum convice Atheists akubaliane nayo kisa tu kuna ushahidi wa kihistoria unaoonesha kuwa mtu aliyeitwa Yesu alikuwepo?
1 Wakorintho 14:38
Lakini mtu akiwa mjinga, na awe mjinga. Ila Mungu ajajificha yupo wazi , na a
 
Back
Top Bottom