Swali hili linauizwa sana!! Na ndugu wengi wa mahali hapa, kwa sisi wakristo ni swali jepesi ? Sana na wala hatuthibitishi kiroho tunaweza kuthibitisha kwa kisayansi na kihistoria.
Sisi kwetu Mungu sio fumbo, bali uhalisia katika maisha Yetu , kwa sababu ameshatupa mfano wake ,
Kwa wakristo wote tunakubaliana Yesu kristo sio mtume bali ni mwana wa Mungu, na tunakubali hali kuwa hali ya Mungu kabla hajaja dunia.
Wafilipi 2:6,
ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho;
Na tunakubali Yesu ni mfano wa Mungu
Waebrania 1:3
Yeye kwa kuwa ni mng'ao wa utukufu wake na chapa(photocopy)ya nafsi yake,
Na aliye muona Yesu amemuona Mungu
Yohana 14:9
Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?
Najua historia iko wazi kristo amewai kuwepo
Hata kalenda tuliona ni shahidi maana baada ya kristo watu wakaanza kuhesabu miaka upya.
Mungu yupo ni dhahiri kafunuliwa kwa njia ya Yesu Kristo,
Mambo yapo wazi tu. YN
1 Wakorintho 14:38
Lakini mtu akiwa mjinga, na awe mjinga.
Ila MUNGU YUPO, HISTORIA NA SAYANSI INATHIBITISHA AMEWAKUWEPO YESU KRISTO . Yesu Ni mfano wa Mungu halisi. Kama unaelewa Yesu amewai kuwepo na yeye anasema aliyemuona yeye amemuona Mungu.