Elections 2010 Thibitisha mwenyewe CCM walivyojua kuwa watachakachua kura

mchonga

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2006
Posts
1,233
Reaction score
248
 
Last edited by a moderator:
"We have done many good things for this country".

Such as _______________________________________________________________________ ?
 
Mama Salma ameongea kitu kimoja hatari sana na kinaonyesha dalili mbaya kwa hapo baadaye, amesema baba akiwa kwenye uongozi basi na wewe mama unakuwa pia kiongozi! Really???

Na pia kitu kingine ni kitendo chake cha kufanya kampeni kwenye kituo cha kupiga kura siku ya uchaguzi kwa kuwaomba watanzania waichague CCM.

Anavunja sheria mbele ya waandishi wa habari nao wanashindwa hata kumuuliza. Kwa kauli ile ya kwamba naye pia kama mke wa urais anakuwa kiongozi automatically kinathibitisha wazi watanzania tutegemee nchi kuongozwa na familia.
 
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kitu kigeni kabisa kwa mke wa "sultani". Mwalimu Nyerere (nabii) aliyaona haya na kuyasema mapema.

Tanzania ni taifa, sio familia ambapo mke na mume hushirikishana mawazo kwa manufaa ya familia yao.
 
"We have done many good things for this country".

Such as _______________________________________________________________________ ?

Your quote leaves a very interesting piece, "we have done a lot of things for this country and for THESE people"
 

Nasema tena jamani huyu mama Salma awahishwe Mirembe akarekebishwe akili yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…