Thierry Henry Magic No.12

Zlatanmasoud

Member
Joined
Dec 19, 2010
Posts
71
Reaction score
16
Jana thierry alifunga bao dhidi ya Leeds akiwa amevaa jezi no 12, zikiwa zimesalia dakika 12 mchezo kwisha, likiwa ni bao la 12 dhidi ya Leeds United, na ni Mara ya 12 kukutana na Leeds, na huu ni mwaka 2012
 
Huyu jamaa namkubali sana, ningefurahi sana kama angekuja MANUTD.
 
Huyo ndiye Thiery Henry bana, ndo alinifanya nikawa shabiki wa Arsenal hadi leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…