eliakeem JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 17,214 Reaction score 15,853 Oct 30, 2019 #41 Otorong'ong'o said: Ndio...Hiyo Biblia pia ni mapokeo Click to expand... Sawa hata kama. Lkn tunataka documented mapokeo.
Otorong'ong'o said: Ndio...Hiyo Biblia pia ni mapokeo Click to expand... Sawa hata kama. Lkn tunataka documented mapokeo.
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Oct 30, 2019 #42 eliakeem said: Sawa hata kama. Lkn tunataka documented mapokeo. Click to expand... Unaakili ndogo sana wewe......Nadhani bado mtoto sana wewe... Unadhani kuna mapokeo ambayo hayajaandikwa...???
eliakeem said: Sawa hata kama. Lkn tunataka documented mapokeo. Click to expand... Unaakili ndogo sana wewe......Nadhani bado mtoto sana wewe... Unadhani kuna mapokeo ambayo hayajaandikwa...???
eliakeem JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 17,214 Reaction score 15,853 Oct 31, 2019 #43 Otorong'ong'o said: Unaakili ndogo sana wewe......Nadhani bado mtoto sana wewe... Unadhani kuna mapokeo ambayo hayajaandikwa...??? Click to expand... Jikite kwenye hoja, acha kunishambulia. yakiandikwa kwenye biblia si mapokeo. But do you understand by the term impliedly and expressed.
Otorong'ong'o said: Unaakili ndogo sana wewe......Nadhani bado mtoto sana wewe... Unadhani kuna mapokeo ambayo hayajaandikwa...??? Click to expand... Jikite kwenye hoja, acha kunishambulia. yakiandikwa kwenye biblia si mapokeo. But do you understand by the term impliedly and expressed.