Thika Highway ($360mln) vs Kibaha Highway ($65 mln)

Na mbezi mwisho wanakaribia kuweka mataa.. aibu sana kuwa na mataa kwenye highway.
Nmeshangaa pale kwann hawakifikiria kujenga overpass ,kutakua na usumbufu sana pale kwa wanaotoka njia ya Goba kuingia Morogoro road
 
Kibaraka highway, bwagamoyo port, Any Time cancellation LIMITED, struggling George,BuReTanzania.BRT SettlingGov'tRevenues SGR ..yote kwa helazetu.How's the progress
ichoboy01 EvilSpirit
kwani jagwa amecomment nini kuhusu hizo projects,zitawanufaisha nyinyi tu au hata wachina,wapakistani,waganda na watanzania tutanufaika nazo?
 
SA zile Tz inatengeneza 1st 10km "superhighway in Dar Sluum, Kenya inaunda Nairobi Nakuru superhighway 139km na hutupigi kelele.
 
Mingi imekamilika mbona naona kama unapata presha ya bure[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]iko wapi tuione tuanze kuunga juhudi
 
Nmeshangaa pale kwann hawakifikiria kujenga overpass ,kutakua na usumbufu sana pale kwa wanaotoka njia ya Goba kuingia Morogoro road
Nahis kwenye kila junction kubwa kutakuwa na jinsi ya kupunguza msongamano ...
 
SA zile Tz inatengeneza 1st 10km "superhighway in Dar Sluum, Kenya inaunda Nairobi Nakuru superhighway 139km na hutupigi kelele.
Highway Ni nyingi zinaanza kujengwa mwaka huu wa fedha kwa taarifa yako kutoka tegeta hadi bagamoyo 46 km tunaweka 4lanes ,morogoro road itaendelea hadi chalinze 100km iyo no awamu ya kwanza tu,
Tengeru USA river Arusha nayo itaongezwa 14km dual carriage way
 
Bado Sana ila hongereni kwa mawazo mazuri. Hizi zetu zimetuchosha yani hata hazipo kwenye headlines unapata habari kibahati bahati tu yani unapata inajengwa unajijazia tu... Another dual carriage road.
Tuusan our first dual carriage way was built in the mid 80s From Nairobi to Kenol 80km long, Uhuru highway/Waiyaki way hata sijui ilijengwa lini I just found it the way it is.
So utanielewa nikisema, I can only imagine how you feeling juu that was how I felt 20 years ago as a young boy in class 3 nyakati za Rais Moi.
Hehehehe si kukutania ila wewe unapata hio feeling ukiwa mtu mzima labda na familia, so Kama una mtoto, basi anaweza relate na Mimi better. πŸ˜‰
 
Sasa ukisema highways nmezaliwa nmezikuta nyerere road,kilwa road,morogoro road,kawawa road hizi Ni habar Za kawaida sana unaleta hapa
 
Sasa ukisema highways nmezaliwa nmezikuta nyerere road,kilwa road,morogoro road,kawawa road hizi Ni habar Za kawaida sana unaleta hapa
Siongei hizi za mjini naongelelea ya City to City/Town...hizo za kwenu ni within Dar metro.
 
Mwaswast you're 28 years old ,so is tuusan alizaliwa 1991
 
SA zile Tz inatengeneza 1st 10km "superhighway in Dar Sluum, Kenya inaunda Nairobi Nakuru superhighway 139km na hutupigi kelele.
Iko wapi nakuru highway tuoneshe hapa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]iko wapi tuione tuanze kuunga juhudi
 
SA zile Tz inatengeneza 1st 10km "superhighway in Dar Sluum, Kenya inaunda Nairobi Nakuru superhighway 139km na hutupigi kelele.
Nakuru nairobi iko wapi hebu tuoneshe plzπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…