Thika Highway ($360mln) vs Kibaha Highway ($65 mln)

Naona imekugusa pabaya🀣🀣🀣Pata na hii ya leoπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 973245
Nimekimbia youtube kuangalia uzinduzi wa hilo daraja rembo nikashtuka kumbe ni uzinduzi wa UJENZI wa daraja. Gerrr outa here men. Uje mkimaliza kujenga.
 
Kijana mzee, hiyo 19km 8 lanes bado ni ndogo, Thika road from town to Kadarani area(hapo Roysambu flyover) is 22km., 12 lanes kwa jumla!!., now sasa lets compare the equal distances, bado hampo!!
Ahsante kwa kutuletea na service road...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Alafu kutoka Lesambu to Thika ni 6 lanes..Elewa mada iliyopo mezani..Sisi yete ni complete 8 lanes bila kuweka service road
Ndarudia hadi kieleweke, hatupendi uwongo na mijisifa bila facts. Tembea ukajionee, kisha tulia.
[emoji116][emoji116][emoji116]
 
This is one side on your way to cbd from roysambu/kasarani/thika.,hamuwezi badili ukweli[emoji116][emoji116][emoji116]
 
This outering, pictures below is when it was under construction, now its on finishing touches na upanuzi zaidi baada ya kubomoa nyumba kando ya barabara, haswa Taj Mall, this road ndiyo Tanzanians can compare with Kibaha., iko na tunnel, underpasses na flyovers..,
 
Kenya wako mbali Sana, ni aibu sana kujilinganisha na wao. Na ukweli lazima usemwe.
 
Ngong road.., ikija upande wa barabara its too obvious hajuna comparison!
 
thika is 50km youi fool
 
oh!!my god rescue our Mombasa port, chainees are about to take it
 
Ndio maana najiuliza!!!mbona nyani zimepungua sana kwenye mapori mbali mbali,kumbe wameenda kuungana na wengine nairobi msimu wa sikukuu.
Ati Dar ni pori πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…