Thika Town Beats all towns in Tanzania Except Dar.

hata kama ni kweli, so what? akili zenu ni pumbavu kabisa ndio maana mnadandia tairi la ndege kwenda Ulaya
Wametutia aibu sana waafrika hawa nyang'au,hii habari wakati inatrend nilikua kwenye mgahawa mmoja mwafrika nikiwa mimi pekee,wakati news ikiendelea kwenye tv ikafika habari ya huyo fala wa kibera aliedandia tyre la ndege,pale mgahawani karibia watu wote wakaanza kuniangalia mimi wengine kwa kujiibia ibia,nilifedheheka sana!poor mungiki poor kunyaland
 
Dah, Hivi huyo jamaa aliyedandia Tairi la Ndege alikuwa anafikiria nini hasa?
 
Sasa sisi TZ akili zetu mbovu tunawaza kufanya CHATO kuwa Jiji si ni kwamba tunadhani ukishatoa K na I kwenye kijiji basi unaita Jiji
 
Kamji kazuri to b honest Moshi itatoshana nayo bila shaka,wakenya waliofika Moshi mseme ukweli wenu...Arusha imeidizi hii town yao kwa mbali
 
Kamji kazuri to b honest Moshi itatoshana nayo bila shaka,wakenya waliofika Moshi mseme ukweli wenu...Arusha imeidizi hii town yao kwa mbali
Mmmh Moshi bado.Moshi iipatie Voi
 
Manyang’au hulilia sana miji ya Tanzania kaskazini hasa Arusha. Utakuta ymejazanaaa pumbafu. Halafu mmeshazika yule aliedandia ndege kukumbia njaa Kenya. Btw hamuwezi feed your country mpaka mnakuja kuomba mahindi kwetu?! Jinga sana nyie.
 
Kamji kazuri to b honest Moshi itatoshana nayo bila shaka,wakenya waliofika Moshi mseme ukweli wenu...Arusha imeidizi hii town yao kwa mbali
Hii ni industrial town yaani extension ya Nairobi. Kwa sasa nai Ni Kama imejaa na hawawezi kukuza mipaka maana imezungukwa na mbuga, the best option ni kuwa na metro tu ambazo zipo connected na Nai na mojawapo Ni hiyo Thika Town

By the way miji ya Kenya mingi Ni beautiful sababu ya usanifu wa majengo ,urban planning na Hali ya Hewa maana yote imerundikana kusini. Ukija kwenye ukubwa ya Bongo Ni mikubwa
 
Jamani can you compare this shit with Arusha ,Mwanza or even Dodoma.
Miaka thelathini na tano ya ujamaa ilifanya miji yenu na uchumi wenu kuwa dhaifu na hakuna kivutio bado.Hiyo miji yote hapo juu haina viwanda ama malls za hali ya juu.
 
Kununua ama kuomba
Manyang’au hulilia sana miji ya Tanzania kaskazini hasa Arusha. Utakuta ymejazanaaa pumbafu. Halafu mmeshazika yule aliedandia ndege kukumbia njaa Kenya. Btw hamuwezi feed your country mpaka mnakuja kuomba mahindi kwetu?! Jinga sana nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…