Things Men Wish They Could Say...!!

And people from Mars are cowards?

ulitakiwa ujibu
"Women are from venus"....
Hilo la u-cowards sidhani kama linaingia hapo, ni tafsiri tu ya tofauti zetu za msingi.
 
Actually kuna namna ya kuunga na nazi baadhi ya mboga zikawa nzuri. . .ila zinahitaji ujuzi.

Hehehehehe sasa ikawaje?Bado anaharibu, alijifunza au mlishaachana?
 
ulitakiwa ujibu
"Women are from venus"....
Hilo la u-cowards sidhani kama linaingia hapo, ni tafsiri tu ya tofauti zetu za msingi.

Ubaya ni kwamba sipendi kufuata tu kitu kisa kimesemwa na kuzoeleka. Wewe umeniambia sababu ya nyie kushindwa kuongea ni kwamba mnatokea Mars (I'm familiar with the saying) sasa nnachotaka kuelewa kutoka kwako ni kama nyie ni cowards au la!!
 
Sio ubaya, huo ndio uzuri wako binti weye wa .....!
na nadhani ndio ninachokifurahia kuhusu wewe.
Hilo la u-coward sijui linatokea wapi hapo ila unaweza ukawa sawa tu kama ndio namna yako ya kueleza tofauti za wanaume na wanawake...

NB: "Men are from mars, Women are from Venus" ni kitabu cha John Gray kinafafanua tofauti za msingi kati ya wanaume na wanawake na namna ya makundi hayo ku-deal pamoja bila hizo tofauti kuathiri jinsi nyingine....
Kitabu kizuri sana
 
jG bana mi sitaki kuongelea tofauti za kijinsia nataka tuongelee Uwoga. Nini kinachowafanya muwe waoga kuongea ukweli. . . uanaume wenu?

Hehehehehe nimechekelea kitu!!
 
He: Its too early to take you home, after all i got guests & u knw i live with my sisters, remember?
Meaning: You are not the kind i can introduce to my family
 
Ha..ha..ha jinsi ulivyochanganua hizo scenarios umeniacha hoi..
Niliyekuwa naye alikuwa very sensitive so i had to handle her accordingly,she didn't have this strong character in her.That is what we call natural instincts that we human beings possess knowing what to do,to whom and when to do such thing.
Ila now am a super bachelor,life is much better.I call a square a square and a circle a circle.
 
Hahahaha uneona sasa ehhh?
Kama ni Lizzy wala asingebadilika, ndio kwanza angeongeza mafuta au maji mchuzi uwe mwingi. . lolz

Alright then. . .I guess some people are just like that. Furahia kuwa huru kusema mambo yalivyo badala ya kulazimika kuact tofauti na unavyojisikia. . .there is nothing better.
 
We human!Kazi sana,we lost a lot of energy kujitafuta but,till Yes arudi hatutajijua kamwe!Tunachojua ni kutokujua!
 
We human!Kazi sana,we lost a lot of energy kujitafuta but,till Yes arudi hatutajijua kamwe!Tunachojua ni kutokujua!

Bitter fact:Wanadamu hatuwezi hata kuongoza hatua zetu kikamilifu kilichobaki ni kujaribu na kujifunza kadri tunavyojikwaa.
 
duhhhh TF kumbe ndo unafikiri hivyo ae.. haya bana...:A S embarassed: nimenuna jumla
 
Ofcourse I know that. . .there is only one me, but it doesn't mean wanawake wengine wote sio waelewa kiasi cha kushindwa kupokea suggestion ya namna gani wanaweza wakaboresha hili au lile.

Alright.
 
duhhhh TF kumbe ndo unafikiri hivyo ae.. haya bana...:A S embarassed: nimenuna jumla
TF...: Not all men have this tendency or habit....
Meaning: I (The Finest) am not like that.
 
jG bana mi sitaki kuongelea tofauti za kijinsia nataka tuongelee Uwoga. Nini kinachowafanya muwe waoga kuongea ukweli. . . uanaume wenu?

Hehehehehe nimechekelea kitu!!

Huo uwoga ndio tofauti zenyewe, pia kiukweli sio uwoga ndio namna mambo yalivyo, ili mahusiano yaendelee!
Hivyo unachotakiwa kufanya ni kuelewa tu na sio kukosoa.

Nafurahi kujua umechekelea, haya ni nini hcho kikucheshacho? Niambie basi Rice.
 
Hapo chini Asprin ni marufuku kuchangia kwenye hii sredi...lol..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…