I_manyota
Member
- Aug 15, 2012
- 48
- 44
Okay, sijui kama ishawahi kuwa posted humu au la, ila tufanye kama haijawahi kuwa posted tukumbushane tu.
Najua hapo uko na smart yako moja amazing sio? 😁😁 haya basi fresh, sasa waheshimiwa hivyo vi toy vyetu amazing
mara kadhaa tunakuta vinaanza ku act tofauti na tulivyozoea mara app flani inazingua mara simu inajizima na kujiwasha yenyewe na mambo mengi mengi ya hovyo hovyo
Sasa zile mambo za ku update kilaunachokiona mara nyingi ndio huja na tatizo na unaweza ukazani labda kuna hardware flani inazingua kumbe ni insgu ya software. Yeah, software inaweza kuleta mawenge hayo hutaamini ukija kuambiwa ni software ndio inazingua.
Sasa ni hiviii kabla ujaanza kufanya update fanya kwanza yafuatayo yanafaida zake japo zinaweza zisiwe kuubwaaaaa
Mengineyo tuendelee kujuzana naamini kuna mengi wengine watakua wanayafahamu basi si mbaya ukaongezea hapo.
Najua hapo uko na smart yako moja amazing sio? 😁😁 haya basi fresh, sasa waheshimiwa hivyo vi toy vyetu amazing
mara kadhaa tunakuta vinaanza ku act tofauti na tulivyozoea mara app flani inazingua mara simu inajizima na kujiwasha yenyewe na mambo mengi mengi ya hovyo hovyo
Sasa zile mambo za ku update kilaunachokiona mara nyingi ndio huja na tatizo na unaweza ukazani labda kuna hardware flani inazingua kumbe ni insgu ya software. Yeah, software inaweza kuleta mawenge hayo hutaamini ukija kuambiwa ni software ndio inazingua.
Sasa ni hiviii kabla ujaanza kufanya update fanya kwanza yafuatayo yanafaida zake japo zinaweza zisiwe kuubwaaaaa
- TURN OFF AUTO DOWNLOAD/UPDATE - hata kama una lismart phone lina ma terabyte milioni
- WHAT'S NEW - Nini kipya? je unakiitaji? kama unaona hakuna jipya lolote la maana achana nayo, unapoteza mambando bila sababu.
- REVIEWS COMMENT - za waliofanya update kabla ya wewe ujavagaa hii itakusaidia kujua nini kinaendelea, maana kuna update zingine lisimu linaanza kuwa kama limetiwa virusi yani badala ya kusolve tatizo ndio kwaanzaaa unaleta tatizo. Na hii inshu hasa inatokeanga pale unapofanya update ya OS Version flan kwenda flani, mazee si kila update inayokuja inakua iko perfect 100% cha kufanya hapo wewe ivutie kasi acha kiherehere tulia kwanza hata mwezi upite ndio ufanya hiyo mambo.
- BACK UP-Jenga utaratibu wa kufanya back up- hii itasaidia kama lolote linaweza kutokea na kufanya taarifa zako kwenye simu kupotea
- BETA VERSION - Wewe kama sio mtaalam wa haya maswala ya systeam development au mbobezi wa tehama, ukiona OS/APP imeandikwa beta version achana nayo hiyo ni maalum kwa ajili ya developers, bloggers na wataalam wengine wa maswala kama hayo.