Think beyond employment

kau

Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
80
Reaction score
16
This Thursday(16/02/12)from 5:00pm, in Dar es salaam at JB BELMONT HOTEL there will be an event entitled "Think Beyond Employment" geared to connect you with business leaders in Tanzania .Come and get training & inspiration to make you a successful business person.Its time to change life,START 2012 with power,energy and inspiration to last you through .After this day nothing has to remain the same ,only by choice!!!!!! live your dreams.
ENTRANCE : Tshs 5,000
 
msaada gani wa hela huo............yani hatuna kazi then tuwachangie nyinyi..
kwa taarifa vyote mnavyofundisha huko tushavisoma chuoni kilichobaki ni ajira tu.......
 
Amna jipya hiyo pia biashara umebuni, hivyo utakavyofundisha vyote vinapatikana http://www.africareport.com/ Mtego mkubwa ni source ya capital. Lkn siasa kila mtu anaweza kuimba.
 
hao ni forever living kaka...! kama upo interested na upo serious just attend and join the conference. m sure fro serious pipo earns a lot of money
 
Ndugu,

Kama upotezi uwezi kuokota, nenda changia 5,000 pata ujuzi alafu baadae upate faida. Mkienda watu 100 wao watapata Ths. 500,000 tu ambazo sio nyingi
 
ni vizuri sana kuhudhuria hizi seminar,they make ur mind to think out of the box
 
Ukizoea sana kupinga kila kitu kwamba hakuna jipya utakuja kupinga hadi hakuna Mungu.Ni bora uende kusikiliza
nakuhakishia hutakuwa kama ulivyo sasa.kwanza elfu kitu gani ni hela ya chupa moja ya maji ya kunywa tu.
 

Key Speakers...Topics?
 
katafute form four failure uende nao c hatuna habareeeee afu tena tuwachangie imekula kwenu mazima wa tz sahv wameamka co wale wa miaka ya 90 kwenda shule na kopo la maji na mbolea sahv ni mwendo wa xul bus huku unang,ata popcorn
 
More details pls. Kama wewe huwezi ku-promote what you are selling to us what do you expect us to learn from you?
 
This is a day time robbery.. Kuweni makini watu hata nauli hatuna nyie mnataka 5k si bora nitumie kutolea photocopy za CV!
 
Baada ya training tutapewa japo mkopo wa kuanzisha biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…