Ijuganyondo
Member
- Jan 13, 2011
- 62
- 1
mwanafunzi mwingine huyoooooooooooooooooooooooooooooAsalaam aleykum wanajf,katika pitapita yangu katika vyuo viwili vitatu hapa tz nimekuwa nikiwasikia some ladies wakisema'mimi siwezi kumpenda mwanachuo mwenzangu!hana hata gari? Atanipa nini?atanipeleka wapi?' kwa kweli wana jf nilishtushwa na kusikitishwa na kauli hizo! Wanajf what does this mean?! Nawasilisha..,
Asalaam aleykum wanajf,katika pitapita yangu katika vyuo viwili vitatu hapa tz nimekuwa nikiwasikia some ladies wakisema'mimi siwezi kumpenda mwanachuo mwenzangu!hana hata gari? Atanipa nini?atanipeleka wapi?' kwa kweli wana jf nilishtushwa na kusikitishwa na kauli hizo! Wanajf what does this mean?! Nawasilisha..,

Why should I think of this upupu post?
mwanafunzi mwingine huyooooooooooooooooooooooooooooo
Hebu someni jamani sio mnavamia tu jukwaa
si lazima wooote tuwe wanamuziki wengine tunaweza kuwa washabiki tu!:frusty::frusty::frusty:
Njaa ndo inawasumbua,wakikua wataacha.......It means dunia imebasilika,hapendwi mtu bali alichonacho......lol
Una option ya kusikiliza wasio chuo pia,kupenda hela ni tabia ya mtu si wote,wako popote wasichana wa namna hiyo si chuo tu.
wananihudhi haaaaaaaa:frusty::frusty:FD leo Ijumaa watu wanamalizia matatizo yao humu
wavumilie tuu
FD leo Ijumaa watu wanamalizia matatizo yao humu
wavumilie tuu