box hapa ni sera za chama na maneno ya kiongozi:kama unataka tutoe mawazo nje ya box inabidi ueleze hilo 'box' ni lipi.
box hapa ni sera za chama na maneno ya kiongozi:
Mfano wewe bwana abdulhalim nakujua vizuri,sera ya chama chako na maneno yako ya kisiasa wote tunayajua. Lakini hivyo ndivyo vitakuwezesha kuingia state house/ikulu,ila kwa ninavyofikiri na ninavyo kujua ukiingia pale najua hili,lile, na haya lazima utayafanya hayo ndio outside the box. Ni mambo ambayo wengi hawayaoni,lakini yaweza tokea hujaelewa tu mheshimiwa sana?
umeeleweka,point taken.you are assumming kwamba naamini ktk circus called 'siasa', wanasarakasi wanaoitwa 'wanasiasa' na magenge yao ya kihalifu yanaitwa 'vyama vya siasa'. Kwa kifupi sina input ktk hoja yako, maana it is intrinsically and extrinsically fallacious.
You are assumming kwamba naamini ktk circus called 'siasa', wanasarakasi wanaoitwa 'wanasiasa' na magenge yao ya kihalifu yanaitwa 'vyama vya siasa'. Kwa kifupi sina input ktk hoja yako, maana it is intrinsically and extrinsically fallacious.