Correction. Bulaya hakuwa msanii.Km Sugu na bulaya wamekuwa wabunge sioni ajabu hao wakiwa wabunge
Umeongea hoja ya msingi. Mpiga kura atamchagua mgombea kwa vile diamond katumbuiza siku ile? Ujinga ujinga tu!Hivi CCM wakiwaalika wasanii kwenye kampeni zao huwa wana hakika hao wasanii wanaweza kuwashawishi wapiga kura waichague CCM? binafsi naamini wapiga kura huwa wanakwenda kwenye hiyo mikutano kuona show za bure, halafu CCM wanatumia kigezo cha kujaza watu kwenye mikutano yao kuiba kura na kujitangaza washindi.