Think twice

lucy mboya

Member
Joined
Jun 18, 2011
Posts
9
Reaction score
3
Hivi ni kwa nini unaamua kuingia kwenye maisha ya mtu kama unajua fika kuwa hauko tayari kukaa naye? Nawasilisha
 
Hapana Mkuu! Mtu haingii kwa mtu.. Ni pepo ndo anafanya hivyo. Vinginevyo wanaingiliana hao wawili. Am ai raiti??
 
Hivi ni kwa nini unaamua kuingia kwenye maisha ya mtu kama unajua fika kuwa hauko tayari kukaa naye? Nawasilisha

Kwani wewe huwezi jua kuwa anapasi taimu? Lakini inawezekana mwanzoni alikuwa na nia ya kukaa nawe, baadaye akaprove wrong. So ikitoka usilie tafuta ingine.
 
Hukuna cha pepo hapo, nadhan lack of focus and selfishness hua ndio chanzo cha yote. Mtu hupenda kujisatisfy pasipo kujua mbeleni itakuwaje. hapa watu hufanya mambo kwa kukurupuka, kuiga wenzeo mwisho wa siku huaribikiwa!
 
DuuuhhhhKumbe unaweza ukitaka...Mimi penda wewe
 
Hukuna cha pepo hapo, nadhan lack of focus and selfishness hua ndio chanzo cha yote. Mtu hupenda kujisatisfy pasipo kujua mbeleni itakuwaje. hapa watu hufanya mambo kwa kukurupuka, kuiga wenzeo mwisho wa siku huaribikiwa!

True! ila kwa zaidi nadhani kukurupuka kunachangiwa pia na pressure za jamii..(society)..mfano..kuna wale ambao wanaona aibu umri unaenda au wazazi wanasema wamechoka kuchangia harusi za marafiki...Hapa ni rahisi ndugu yao au rafiki kukubali takataka yeyote inayokuja mbele yake..
 
Unafanya nini kama unakuta kitu ulichokifikiria si ulichokipata na hutakipata karibuni?mi nadhani baada ya kuwa karibu amegundua vitu vingi tofauti ndio sababu
 
hahahahaha lolsafi sana mama obamahata kaa asahau hiisante ivuga..
yani hapo alikuwa hafurahii kiduku bali trailer la movies ya wakati wa utumwa ndo linaendelea kichwani mwa 1st lady huyu.
 
...sijui kwanini swali hili limekosa wachangiaje wengi.

Anyway,.....kwa mtazamo wangu nahisi watu hao hujiingiza kwenye mahusiano hayo kwa matakwa yao maalum (nje ya mapenzi) mfano; Ajira, haki za kuishi aka 'makaratasi' (waliopo ughaibuni,) ugumu wa maisha, 'status' -nae aonekane yupo na fulani, au hata kujiliwaza baada ya heartbreak aka " ...a shoulder to cry on!"

Wakishakidhi mahitajio yao, hutafuta vijisababu agombane nae kisha amwambie hawakuwa 'compartible partners.'
Kama Afrodenzi na Gagurito walivyoandika,...ni ubinafsi unaowasumbua.

Laiti kama wangejua madhara ya kuuchezea moyo wa mtu!....Wabahatike tu,
otherwise ni kawaida haipiti miezi twasikia (waathirika) wenye imani na mioyo midogo na visasi vyao wakishasalitiwa.
 
Mambo haya yapo na yanaendelea,"friend with benefit"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…